Uchaguzi 2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

Nimeongelea suala la kuhatarisha amani ya nchi na kupelekea machafuko
Machafuko yataletwa na ccm chama cha mauaji, Lissu anawataarifu wananchi maovu ya ccm na rais wao ili wajue, wakimuelewa watampa kura, ccm haitaki watu wasiojua wajue maujinga yake, kwa hiyo hakuna namna Lissu anaweza kuleta machafuko, jaribu kutumia akili hata kidogo
 
Nimeshalitolea ufafanuzi mzuri tuu Jambo hili

Hauna, narudia tena hauna uwezo huo wa kuturafsiria kitu kinachosemwa na mtu mwingine na wewe utufafanulie tukubali kwa mtazamo unaoutaka wewe.

Na yale maneno aliyoyasema kuhusu Bwege kule jimboni kwake napo unatolea ufafanuzi gani?
Naona unataka kujipachoka mamlaka ya ufafanuzi.
 
Mimi nilifikiri yupo neutral. Angeandika na ubaguzi wa mgombea wao kuwatisha wananchi kutopeleka maendeleo walikopita upinzani

Magufuli ni mbambaishaji na hajui kufanya Kampeni !
Jiwe limeanzia Kanda ya Ziwa KUTHIBITISHA UBAGUZI NA UPENDELEO WAKE!! Magufuli anahubiri UKABILA KWA KUTUMIA KISUKUMA Kama lugha ya mawasiliano!!!!
Kuna kipindi Jiwe aliwahi sema WATU WA MWANZA WASIVUNJIWE NYUMBA ZAO MAANA WALIMPIGIA KURA.....! Lakini hapohapo akiendelea KUVUNJA NYUMBA ZA WATZ WALOKO DAR KWA VILE CCM WALISHINDWA VIBAYA UCHAGI WA 2015.
 
Ongezea na yule aliyesema mkichagua upinzani sileti maendeleo kama vile hela inatoka mfukoni mwa mtu wakati ni kodi zetu na ushajiingiz kwenye vyama vingi hili haliepukiki ukiwa mnafiki ujanani uzeeni utakauwa mchawi acha unafiki kuna maisha baada ya uchaguzi .
 
Weka video ya Bwege nikufafanulie. Mwenzako nimeshamfafanulia ametulia kimyaaaa, ameelewa yani
 
Weka video ya Bwege nikufafanulie. Mwenzako nimeshamfafanulia ametulia kimyaaaa, ameelewa yani

Wewe haukusikia rais aliyoyasema wakati anatoka kwenye mazishi ya Mkapa? Mbona unataka kujitoa ufaham? Utafafanua mambo mangapi yanayoropokwa wakati huu?

Wewe umeweka video ya TAL kwenye bandiko lako au umeamua kuja kushambulia tu.
 
Rais Magufuli aliwaambia tuu Ukweli kuwa
Wamekosea kuchagua
Stand iko ndani ya uwezo wa mbunge na madiwani
Magufuli akawaambia Hana uwezo wa kumuwajibisha Bwegw Kama atamtima nakukataa lakini Kama angekuwa CCM angeweza hata kumfukuza
Mwisho akawaambia huu ni mwaka wa uchaguzi, Kilwa wasifanye tena makosa

Itakuwa ni ubwege wao kuchagua bwege
 

Bora umedhihirisha uwezo wako nisiendelee kupoteza muda na nguvu zangu kujadili na wewe.
 
kwa hiyo amani ishavunjika tayari au tusubirie?
 
Siwapangii wananchi na wewe usiwapangie. Tuwaachie waamue.
#wananchinisisi
Kama ndivyo, hili bandiko lako lilikuwa na maana gani Basi? Huoni Kama unawalazimisha hao uliwaadress kutimiza maagizo waliyopewa kutoka juu huku wakijificha nyuma ya migongo ya wananchi? Acha usnitch na kujipendekeza kwenye vyombo vya dola!
 
Asante kwa ushauri Ila nadhani unajua kuwa ushauri unapokelewa au unakataliwa
Huna ushauri unaweza kupokea wewe endea kulamba viatu vya watawala wakikwamba wananunua ndege wakiwa chumbani unajua % 10 ya ndege moja?
 
Nadhani tunaanza kuelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…