Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
Mfano kununua ndege nyingi kama magunia ya mahindi ukapack kusubiria njaa au abiria watokee, . This is none economical.Kuhoji ni muhimu ila inategemea wewe unatafsirije matumizi mabaya ya kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano kununua ndege nyingi kama magunia ya mahindi ukapack kusubiria njaa au abiria watokee, . This is none economical.Kuhoji ni muhimu ila inategemea wewe unatafsirije matumizi mabaya ya kodi
Hiyo ni tafsiri yakoMfano kununua ndege nyingi kama magunia ya mahindi ukapack kusubiria njaa au abiria watokee, . This is none economical.
Vipi aendelee kushikilia? Endeleeni tuu kumponza nwenzenuTundu Lissu shikilia hapo hapo baba...... imeisha hiyo!
Adhabu iliyotolewa umeisikia?Hongera kwa kujitutumua japo umeandika utopolo
Mkuu usipende kuongozwa na ushabikiHuna ujualo,labda ww ndio mkiti wa hiyo kamati ya maadili.mda wa kutishana ulishapita.Kamati haiendi kumhoji Lissu bali inaenda kuhojiwa na Lissu.Haya mambo Yana majibu ya kisheria na siyo huu ugoro wako na ushabiki maandazi.
Nadhani tunaanza kuelewanaWewe ni mshenzi na mjinga sana, pumbavu kweli hujui unachoongea, unakotoka inaonekana hawana uwezo wa kufikiri.