Barua ya wazi kwa Tundu Lissu kumuonya dhidi ya kutetea masikini na wapumbavu

Barua nimeisoma na nimepitia baadhi ya maoni ya wadau . Pamoja na ukweli uliopo ktk maudhui ya barua lakini inskatisha tamaa. Wa kumlaumu hapa wala si Lissu na watu wa aina yake . Bali ni jamii ya waTz . Wamefanywa hivyo kwa maslahi ya watawala na viongozi . Elimu na ujasiri wao ni kazi bure, kwao propaganda na lugha za kuwapoteza ni jambo la maana

Kikubwa hawatakiwi kubaki hivi. Wabaki kuwa loyal kwa nchi yao , pengine na serikali yao lakini kwa taratibu nzuri za kuchaguana na kurithishana madaraka. Lakini kwa mtindo huu wa ki communist. Mimi ni Bora kuwa kama Lissu ukafa bila heshima .

Hao watetezi wa wanyonge na manabii waliumizwa kwa vifungo na kunyongwa lakini wameishi mpaka leo. Kwa maana ya kuwa wanakumbukwa eg Yohana mbatizaji, Nelson Mandela, Yesu Kristo, Steve Bhikho etc . Mpaka kesho ukimtamka inajulikana unamuongelea shujaa. Je wale waliojikunyata kujali maisha yao tunawakumbuka kwa lipi ?!. Tanzania Lissu ukimtaja wataendelea kumkumbuka si leo tu bali vizazi vijavyo
 
Lakini naona umekosea kidogo kuiweka kama ni out wa calibre hiyo ya kutetea wanyonge wakati yeye hufanya hivyo kwa kuweka maslahi yake mbele kwa Mgongo wa kuwa tetea "wanyonge"
 
Hilo ukilitambua ni mwanzo wa mafanikio
Mafanikio yakuondoka duniani bila haki yako !!. Kikubwa hata kama tunao hao wababe . Tuwe na mfumo mzuri wa kuangalia ni nani anayefaa kutuongoza kuvuka. Hili la kuwaachia wababe watuamulie si sawa .

Katika jamii ya wasomi waTz tungepata kina Lissu 100. Nchi hii ingekuwa sehemu nzuri ya kuishi hapa duniani. Lakini kwa hili la kuogopa hata kulitaja jina la kiongozi !! Hapana
 
Lakini naona umekosea kidogo kuiweka kama ni out wa calibre hiyo ya kutetea wanyonge wakati yeye hufanya hivyo kwa kuweka maslahi yake mbele kwa Mgongo wa kuwa tetea "wanyonge"
Masilahi gani yalioperekea zile risasi 38 na 16 kumuingia mwilini ?!. Waliowapa wazungu hao madini bure, wengine bado wapo hai wachache ndiyo hao waliotangulia peponi
 
Bwana ROBERT HERIEL

Hii barua ya moto sana. Wengi wanaochangia kuikosoa naona wanarukaruka tu, hoja zao zinategemea miujiza na sio facts.

Hoja za barua hii bado zimesimama na zitaendelea kusimama tu. Ukweli mchungu.
 
Wewe jamaa ni muandishi bora zaidi hapa JF..Masikini na Wapumbavu..Jitu lina PHD “umeniokota jalalani “kama angekuwa baba yangu ningemkana ila kabila letu hakuna wapumbavu wa hivi
 
Masikini waone hivyo hivyo Mkuu.
Bila kumdhulumu hawezi kukuheshimu, atakudharau.

Masikini ukimsaidia haoni kama unamfanyia favour, yeye anajua ni wajibu wako. naye ni halali yake kusaidiwa.

Masikini anatamani aone anguko lako. Yaani acha tuu
Umeandika point tuupu kwakua binafsi imenitokea kwa mtu niliye msaidia yaan unaweza kukufuru kwamba maskini mwache na afe na umaskini wake Seema ndi hivo Damu ya Yesu inatufunika
 
Masikini waone hivyo hivyo Mkuu.
Bila kumdhulumu hawezi kukuheshimu, atakudharau.

Masikini ukimsaidia haoni kama unamfanyia favour, yeye anajua ni wajibu wako. naye ni halali yake kusaidiwa.

Masikini anatamani aone anguko lako. Yaani acha tuu
Wewe jamaa ni genius
 
Nilitaka kumtusi mleta mada lakini niliporejea baadhi ya situation nikabaini uhalisia wa mambo.Embu angalia mwafrika wa wa afrika kusini alivyo mpumbavu leo hii wakati alikuwa anatetewa kwa nguvu zote alipokuwa anakandamizwa na kaburu.Lakini leo hii mwafrika huyuhuyu wa afrika kusini ndio yuko mstari wa mbele kuwafanyia vurugu wageni.
 

SHIDA YA ANDIKO LAKO LIngepata maana kama Major yako ya LISSU kuwa mzalendo ingekuwa ya Ukweli. Pole sana. Na unakosea sana taaluma yako kwa kuweka ushabiki maandazi kwenye mambo ya Siasa. POLE sana.
 
Wewe ungeweza kutoa "counterargument" nzuri sana kwa mada iliyowekwa hapa. Haya machache uliyoweka yana-'neutralize' sehemu kubwa ya utetezi alioutoa mleta mada.
 
People similar to Jesus Christ and Mohammed S.W. have gone deep down with their life history. Do not give up TL. Cry with the poor, trodden, and the helpless. Your reward will be unforgettable mark you leave behind. Do not ever give up. Continue fighting. Allah will shower graces on you.
 
Duh jamani kumekucha tutoane akili
 
Fikra hizi zinaondoa dhana ya mtazamo unaoathiriwa na wakati,

Mwandishi ama hajui ama ameamua kudharau neno 'change' katika jamii yoyote ambayo hasa huweza kuletwa na mtu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…