Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Nimeshangazwa sana kusikia na baadaye kuona barua yenye maudhui kama yale yale ya barua yangu kwa Katibu Mkuu imewekwa mtandaoni.
[h=2]re: CHADEMA taifa vipande vipande! Soma barua hii ya Zitto[/h]Hii barua imefikaje humu? Hata hivyo Zitto inawezekana yuko sahihi.
inteligensia ya chama inanyea debe ndugu yangu.Kama kunakirusi ndani ya Chama kuna haja ya intelllegensia ya chama ifanye kazi kwa kuwa-scan viongozi na watu wote waliokaribu na viongozi waandamizi ili kikamatwe na kuwa-deleted. Mfano uchunguzi waweza kuanza kupitia hiyo barua kuwa ilipita mikononi mwa watu wepi na ilitunzwa mahali gani hadi hicho kirusi kikavujisha hizo taarifa.
Kwa kuwa ukweli hutafutwa na si kuumbwa naomba viongozi wautafute ukweli juu ya hicho kirusi.
Kwa ujumla napongeza ufafanuzi wako.
Napata raha sana nikisoma maelezo yako ...unanipa imani kuwa wewe kweli ni mwanafunzi wa shahada ya uzamivu....wewe ni kiongozi usiyemung'unya maneno..asante sana zitto...tukutane kule twitter
Kama ile barua ni ya kweli Zitto amekiri Mods waifungue ule uzi watu tujadali.
Je uchunguzi wako wa ku identify id za kirusi hiko haujakutajia id zingine za kirusi hiko hap JF au email zake?
wanasubiri upepo uende vipi lol
sasa kama Zitto hana uhakika na ukweli wa video ya Rwakatare
hadi aombe uchunguzi
why tena aseme haamini kuna watu wanataka muua?
what if uchunguzi ukisema video ni kweli?
Atleast you said it well
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
stay tuned,innallah maswabirin.kuwa na subira si unaona Lissu anamwaga data taraaatiibu bila mikwaruzoMkuu mimi nina maswali kadhaa. Umeandika kwamba uliandika barua kwa katibu mkuu wa chama kukisihi chama kifanye uchunguzi wa ndani kuhusu swala la Lwakatare. Je:
1. Ombi la kufanya uchunguzi ulikubaliwa?
2. Kama Ombi la uchunguzi lilikubaliwa je uchunguzi wa ndani umethibitisha nini?
3. Inaelekea unaamini kabisa kuwa kuna ki/virusi (spies) ndani ya chama. Je mmefanya uchunguzi wa kuwagundua ni wakina nani?
Nilisha sema jana kwenye mjadala wa ile barua na leo narudia kusema tena.
"Ukweli huwa una tabia ya kukawia kufika uliko kusudiwa,hata hivyo, huwa hauachi kufika. Unahitaji busara na hekima ya kiu-vumilivu kuusubiri".
Walio taka kuupata ukweli jana ileile muda uleule watakuwa wanajiona wamechelewa kuupata ukweli, lakini kwa kuwa tabia ya ukweli ni kufika bila kujalisha kuwa utachelewa, huwa tulizo na liwazo kwa mwenye subira na hekima kuusubiri ukweli husika.
Hili linapita baada ya mhusika kuuweka ukweli, naamini yatakuja mengi na yatapita ukweli ukidhihiri, tulijua ya Mwangosi, sembuse ya Epa! Tukajua ya Buzwagi sembuse ya Uswis?, umejua ya kuiba wali jeshini sembuse ya kukaliwa Itikafu?, hata ya Ludovick na nduguye Lwekatare pia ukweli utajulikana.
"Ukweli huwa una tabia ya kukawia kufika uliko kusudiwa lakini hauachi kufika..."
CC Ritz, Zemarcopolo, Chama, Tumaini Makene.
Mara zote nimeamini kuwa BILA CHADEMA imara, CCM itakuwa kama simba aliyekabidhiwa bustani yenye swala! Itafuja kila kilicho mbele. Chadema ikiwa imara, Tanzania itakuwa imara.