Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
Duh kwa mwendo huu tukiwakabidhi nchi chadema si tutatolewa kucha wananchi wote ? VUA GWANDA VAA SUTI.
 
Sijasema kua lazima wawe waoga. Ngoja nikupe mfano: mimi hapa nikikamatwa na video kua napanga ugaidi, unadhani chama changu (whatever it is) kitasimama na kufanya three (or more) press conferences? I dont think so because there is a line between ninacho panga kufanya mimi na ninacho panga kukufanyia chama sababu chama kimenituma. If this is correct with me, then it should be valid kwa mwanachama yeyote yule, irrelevant of his rank katika chama.

Ile video ilivyo haijakihusisha chama kwa mbali au kwa karibu, zaidi ya kua wahusika wawili ni wanachama wa Chadema. But hakuna kabisa sehem wanasema kua wanafanya hivo kwa sababu wametumwa na chama. Kisa cha chama kujitwishaa hili saga is to its own detriment, hasa if the two suspects end up being sentenced.
 
Mtatapatapa sana mwaka huu mwishowe "kusney!!!"chezea chama dola nyinyi?.

Chama dola ndani ya coffin wameshindwa plot zote walizoziandaa zinabuma, they are just totally confused
 
asante sana,hawa ni mabingwa wa UEFA WA KIHISTORIA
 
Polisi wamemkamata na kumshitaki Lwaka kama yeye na sio chama lakini naona CDM inapambana kama vile chama ndio kinashitakiwa, hii inaleta maswali mengi mno.
 
Asante sana mh Zitto kwa ufafanuzi bila shaka hicho kirusi kitajulikana tuu!

Asante kwa majibu matamu! Nilisema tangu jana hapa kuwa pengine barua hii ilikuwa na maudhui aliyo yaandika lakini siyo aliyo iandika! Walitegemea chadema igawanyike lakini wameishia kuiba maudhui a barua tuu!

Alaf kwa taarifa tuu hii barua ililetwa na ID ya formfourleaver2012 na ikwa merged na kuwa hugochavez!

Wajipange upya sana na huu ni mkakati hule hule wa kuwachonganisha wanachadema!
 
Zitto amenena vema, ila suala la kirusi, kuwa hajui kabisa na hata hata anayemhisi, hapo pananitatiza kidogo, Zitto vyanzo vya taarifa anavyo na hata Ubongo wa kuwachunguza wenzie mmoja baada ya mwingine na kubaini ni huyu anao. Hapa kidogo mmhh.....Kirusi kitazidi kukua na huenda kikaua Chadema kabla ya 2015 kama wanavyodai CCM
 
Onyesha sehemu Zitto anapo kiri kuwa ile barua niya kweli!? Nukuu uweke kwenye jibu.
Hii hapa
 

:rockon:Nenda tena shule! Hapo kwenye RED aliyekwambia kwamba muhalifu hatetewi na nani? na eti mtakiweka katika hali gani chama?. kwani nyie chama chenu mkiweka kwenye hali gali mbona kina waalifu wa kumwaga na bado kinatawala na kuendelea kuclaim kuwa bado kitaendelea kutawala milele.
 
Kweli kabisa CCM ina makosa mengi ila two wrongs don't make a right. CDM ni chama cha upinzani na kina nafasi nzuri sana ya kuchukua uongozi ikiwa watakua makini. One scandal on their side is worth ten on the rulling party side. Watu wana imani sana na chama hiki kiasi kwamba wakionekana na doa moja tu watasemwa ni wachafu na watu wataanza thinking za "better the devil you know".
 
Asante kwa kuthibitisha kuwa ile barua ni ya kwako zitto mana machadema yalikuwa yanapinga kihohehahe kuwa ile barua sio yako
 

Tafadhali weka kumbukumbu zako sahihi juzi tuu hapa katajwa Mwakyembe kutaka kutumia TPA kufanya biashara na CCM sukita, Nape katoa waraka unadhani si kusimama na kiongozi wao huko.

Kikwete aliambiwa ameanzisha udini na kwamba anendekeza ugaidi wa kidini, Nape huyo amesimama mara ngapi kumgombea mwenyekiti wake.

Kinana Meli zake zimeonyesha kuwa zinasafirisha meno ya tembo yaliyopatikana kwa njia ya ugaidi na ujangiri, Mpaka makamu mwenyekiti wa CCM amesimama kutetea japo vyote hivyo ni kweli lakini bado wametetea na kujaribu kutunga uongo kuwaokoa watu wao ,kwa hiyo weka rekodi zako sawa
 
With no offense, imani yangu na niko sahihi kabisa ni kwamba KIRUSI KITAKACHO IMALIZA CHADEMA NI JOSEPHINE MUSHUMBUSI either
kwa michezo kama hii, au mingine atakayo iamua.

NB: Ni mtazamo tu, msinitoe meno na kucha zangu please.

Teh teh karibu lunch hapa Calabash....njaa mbaya sana..naona unapiga mihayo tu!
 
Ni Pale mahakama itakapothibitisha lakini hatuwezi kuishi kwa kuhisia tuu haiwezekani
 
Mh Zitto Chadema dawa ya kirusi ni kuleta ant virus ili kukiua, kwani Zito unapozungumzia Chama si pamoja na wewe! haya unayoyasema hapa uliyasema kwa kikao?
 
we utakuma gretest thinker mkuu pokea like yangu.hapa maadui wa zzk hasa ben anahusika 100
kwa 100.

Wewe adui wa simu za watu uliambiwa umalize shule.Hebu soma sentensi ya kwanza ulivyoandika tusi.Hujui hata kuandika neno 'greatest'.Rudi shule acha unafiki,usaliti wako utakutoa roho.Kibaha wamepata hasara
 
Asante kwa kuthibitisha kuwa ile barua ni ya kwako zitto mana machadema yalikuwa yanapinga kihohehahe kuwa ile barua sio yako

Umemsoma kasema barua yake ilikuwa na sahihi kwa hiyo hii haina sahihi lakini ina maudhui sawa kwa hiyo anachokisema Zitto yeye mwenyewe hakifahamu kiujumla kasema barua sio yenyewe
 
Kwa wazifa wa lwakatare ilikuwa ni vigumu sana na kutenganisha hizi tuhuma na chama! Na hakuna asiyejua kuwa intention ni kuichafua chadema! Awe ametumwa au hajatumwa lakini hii ina ichafua chadema na lazima chadema wasimame hadi mwisho kwenye hili! Yani hapa ni sawa na hili lingemkuta mwenye kiti wa chama alaf useme chama kitakuwa salama!

 

Viongozi wa chama wanaweza kua na nia hiyo ila sababu wananchi wamechoka na utawala uliopo wanashabikia bila kufikiri. I am so sad when I see ushabiki unao endelea hapa, watu wakiamini wanakisaidia chama kumbe ndio wanaharibu. Difficult questions must be asked (and answered to) ili kujenga chama. Kama wanachama watakubaliana na kila kitu kinacho semekana just because it is in favor of chama, au kama watapinga kila kitu just because it is against chama basi chama kitakua dhaifu sababu hawatajenga some of the most impostant skills it takes to lead: defending your position and convincing with reasoned arguments.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…