Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
huko si kukatika ni kurusha tako mdebwedo....hivi hana wajomba huyu? anachokiimba hata hakieleweki...aibu plus plus[q/QUOTE]
kumbee! but anatia aibu yani kama nko na mme wangu au mkubwa wangu nakimbilia remote ka mwehu!
halafu madansa wake hawavai chupi na vile vitako vyao..afungiwe tu
Umepona wapi?!
nimeiangalia ni takataka tupuMpunga wataka kuitafuta hiyo video,
Utapofuka macho, shaurilo.
Umenifurahisha [emoji28]Nishaanza kuzeeka si bure,haiwezekani hadi kufukia hapa sijaelewa kitu.
Hakika uswahili ni kabilasijaona akiimba zaid ya kutikisa nyamanyama...kuelewwa nyimbo za hiv inahitaj mtu uwe mswahili
duuh teh teh teh teh....miaka inaenda kasi sana...Chura wateka medi walikasaula eheeeeeh!
msukuma na hizi mambo wapi na wApi? lazma usielewe tu.....sijaona akiimba zaid ya kutikisa nyamanyama...kuelewwa nyimbo za hiv inahitaj mtu uwe mswahili
SUBIRI KWANZA NA WENZIO TUONE NDO UFUNGIWE USIWE NA ROHO MBAYA HIVYO KIZURI KULA NA WENZIOHeshima kwenu wakuu,
Hii video ya Snura ya Wimbo wa Chura anarukaruka, ikitoka tu naomba ifungiwe. Mkishaifungia mumpige msanii marufuku ya kujihusisha na Muziki kwa Miaka mitatu. Hatuwezi endelea kulealea huu ujinga.
Kama mliweza kuufungia Wimbo wa Roma wa Viva Roma Viva ambao haukua na tatizo katika Swala la maadili, naamin huu wimbo ukitoka msanii atawekwa mbaroni hata siku mbili.
Imetosha sasa kwa hawa dada zetu kujifanya eti wamepinda, wao ndo wanajua kukata mauni, wao ndo wanajua kutembea uchi.
Naomba BASATA msiangalie Nyani usoni
Point[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]SUBIRI KWANZA NA WENZIO TUONE NDO UFUNGIWE USIWE NA ROHO MBAYA HIVYO KIZURI KULA NA WENZIO