BASATA kaeni mkao wa kula, Video ya Chura anarukaruka, ikitoka fungia kisha tia Kapuni

BASATA kaeni mkao wa kula, Video ya Chura anarukaruka, ikitoka fungia kisha tia Kapuni

huko si kukatika ni kurusha tako mdebwedo....hivi hana wajomba huyu? anachokiimba hata hakieleweki...aibu plus plus[q/QUOTE]
kumbee! but anatia aibu yani kama nko na mme wangu au mkubwa wangu nakimbilia remote ka mwehu!
halafu madansa wake hawavai chupi na vile vitako vyao..afungiwe tu
 
Nimekubali ubunifu uliotumika hapa kuufanyia promo huo wimbo. Now you have people's attention, eagerly waiting for that visual.
 
Hivi roma alishamaliza kutunga verse ya yule mbunge wa kule kwa dangote?
 
Kwa kifupi ile video ya chura iliyofanywa na Snura ni hatari ya danger,duuuh...Snura wewe,unaweza ukavunja ndoa zetu mijini. Aluuuuuh!
 
Heshima kwenu wakuu,

Hii video ya Snura ya Wimbo wa Chura anarukaruka, ikitoka tu naomba ifungiwe. Mkishaifungia mumpige msanii marufuku ya kujihusisha na Muziki kwa Miaka mitatu. Hatuwezi endelea kulealea huu ujinga.

Kama mliweza kuufungia Wimbo wa Roma wa Viva Roma Viva ambao haukua na tatizo katika Swala la maadili, naamin huu wimbo ukitoka msanii atawekwa mbaroni hata siku mbili.

Imetosha sasa kwa hawa dada zetu kujifanya eti wamepinda, wao ndo wanajua kukata mauni, wao ndo wanajua kutembea uchi.

Naomba BASATA msiangalie Nyani usoni
SUBIRI KWANZA NA WENZIO TUONE NDO UFUNGIWE USIWE NA ROHO MBAYA HIVYO KIZURI KULA NA WENZIO
 
Back
Top Bottom