Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ukristo unatoka kwa Yesu Kristo. Papa ni mtu tu, tena mtenda dhambi kama wewe na mimi.U
Hivi hii habari ya ukristo unahubiri amani mnaitolea wapi?
Papa urban wa pili wakati anatangaza vita ya msalaba ndiyo amani mnayoizungumzia.
Wanajua basi hata karne ya kuanzishwa kwa hiyo dini yao basi? Wangejua huenda wangekuwa na adabu. Ila ndiyo hivyo tena, mara zote huwa wanafundishwa kukariri mistari ya kiarabu, na chuki dhidi ya imani nyingine.Dini ya juzi iite wakongwe wa imani ya Mungu "makafwili"?Kweli?Dini ya juzi hiihii?
Dah!Mashoga ni ving'ang'anizi hivi?Nakutaarifu kwa mara ya mwisho siwezi kuoa shoga kama ulivyo weye!Nenda mitaani huko kajiuze hata vilabu vya pombe za kienyeji.T
Teeh teeh teeh
Mzee utakuwa wewe.
Mtu una miaka 22 unajifanya mzee.
Kweli jamii forums ni kichaka.
Mtu hata ubwabwa wa shingo haujamtoka anajifanya mzee.
Ombi langu liko palepale binti.
Sasa Crusaders ilikuwaje wakapigana vita? Vipi wale waliokuwa wakichomwa moto kwa sababu ya Blasphemy wakati ule kanisa lina nguvu huko Ulaya?Waislamu ni washari sana, Wakristo ni wavumilivu sana.
Uislam unahubiri upanga kwa upanga. Ukristo unahubiri msamaha. Tena mafundisho yameenda mbali, samehe saba mara sabini kwa siku (mtu mmoja akikukosea kwa siku)
Wewe na papa nani anijua dini?Ukristo unatoka kwa Yesu Kristo. Papa ni mtu tu, tena mtenda dhambi kama wewe na mimi.
Umenena vema akhy.Sasa Crusaders ilikuwaje wakapigana vita? Vipi wale waliokuwa wakichomwa moto kwa sababu ya Blasphemy wakati ule kanisa lina nguvu huko Ulaya?
Nyinyi wenyewe mshajikatia tamaa tu, imani zenu nyinyi wenyewe hamziheshimu...msikimbilie kwenye sijui uvumilivu, sijui msamaha, sijui upendo, sijui kupigwa shavu la kushoto.
Teeh teehWafuga majini mnapenda sana chokochoko na shari. Ila uzuri tumewazoea.
Huko bongo muvi kwenyewe utakuta mtu anaitwa Hemed, au Mohamed! Ila kwenye muvi anajiita Frank, Richard, John, James, nk! Yaani hawa viumbe wanaupenda sana Ukristo! Ni vile tu ni wanafiki kupindukia.Hata wa bongo muvi waache kuigiza mambo ya kikristo kama dini hiyo si yao, unakuta muvi inaitwa fake pastor, mbona hawaigizi fake shaikh? Kwenye uislam wanaogopa maana kule bakora zitatembezwa mchana kweupe na hata kuharibiwa mali zao. Wasani waislam waache kuigiza mambo ya kikristo negativelly hayawahusu. Kama vipi waigize ya imani yao inayowahusu watajuana wenyewe huko
😂😂😂😂😂Wafuga majini mnapenda sana chokochoko na shari. Ila uzuri tumewazoea.
Jini Maimuna anapatikana Kanisani eeh! Umeshawahi kuona mganga wa kienyeji mkristo anayeondoa majini, na nuksi? Bumunda usiye na akili wewe.Teeh teeh
Majini kwao ni kanisani.
Unabisha binti?
Crusade ilijianzisha yenyewe?Sababu unazijua?Uchokozi kama huuhuu ndiyo ilikuwa sababu kuu.Sasa Crusaders ilikuwaje wakapigana vita? Vipi wale waliokuwa wakichomwa moto kwa sababu ya Blasphemy wakati ule kanisa lina nguvu huko Ulaya?
Nyinyi wenyewe mshajikatia tamaa tu, imani zenu nyinyi wenyewe hamziheshimu...msikimbilie kwenye sijui uvumilivu, sijui msamaha, sijui upendo, sijui kupigwa shavu la kushoto.
Huo mziki wenyewe katika Uislam ni haramu. Na wala hayaungwi mkono wanayoyafanya kina Dullah Makabila. Ila hawa wazee wa "hatumpiganii mungu wetu" wasimalizie frustration zao kwa Uislam na Waislam.Umenena vema akhy.
Imani yao ishajichokea wanaanza kumuandama dullah makabila.
Waanze kuwaandama wasanii kama gwajima wanaojifanya wanafufua watu na kuponya vilema.
Dini yao imekaa kisanii ndo mana rahisi watu kuichezea.
Kumbe ndo unapojiuzaga huko kwenye vilabu vya pombe.Dah!Mashoga ni ving'ang'anizi hivi?Nakutaarifu kwa mara ya mwisho siwezi kuoa shoga kama ulivyo weye!Nenda mitaani huko kajiuze hata vilabu vya pombe za kienyeji.
Unajiona fundi wa kuandika ujinga?Utoto umekutawala.Nakupuuzia!Kumbe ndo unapojiuzaga huko kwenye vilabu vya pombe.
Mimi sitaki ukajiuze nataka nkuoe sawa katoto kazuri.
Ntakubadili dini kutoka kuabudu sanamu mpka kumuabudu Allah.
Nimekwambia sema maghari unayotaka ntalipa.
Ukiona aibu kusema hapa njoo inbox.
Please usiende vilabuni tena kujiuza.
Yesu amani ambayo amekuja kuiondoa ni hii, wewe ukiacha dini yako, amani ya familia yako itapotea, watataka usimfuate Yesu.Wewe na papa nani anijua dini?
Unaweza kumshinda papa kwenye imani lakini sio kuyajua maandiko ya kidini.
Sawa msome na yesu hapa ujue anasemaje kuhusu amani
View attachment 2455514
Halafu amevaa makobazi miguuni, huku akiwa na midevu kama Osama! Yaani mpaka muda huu wangekuwa tayari wanavunja maduka ya watu mtaani ili waibe mchele na unga, kwa kisingizio cha kukashfiwa dini yao.ANGEWEKA SHEIKHE NA KANZU YAKE AKIENDA MOTONI
Kama Boko Haramu au Islamic state (ISIS) vile.Wanakuja mkuu wewe jiandaeView attachment 2455314