BASATA, kosa la Dulla Makabila ni lipi akionesha Mchungaji akihukumiwa kwenda moto wa milele?

U
Hivi hii habari ya ukristo unahubiri amani mnaitolea wapi?

Papa urban wa pili wakati anatangaza vita ya msalaba ndiyo amani mnayoizungumzia.
Ukristo unatoka kwa Yesu Kristo. Papa ni mtu tu, tena mtenda dhambi kama wewe na mimi.
 
T
Teeh teeh teeh

Mzee utakuwa wewe.

Mtu una miaka 22 unajifanya mzee.

Kweli jamii forums ni kichaka.

Mtu hata ubwabwa wa shingo haujamtoka anajifanya mzee.

Ombi langu liko palepale binti.
Dah!Mashoga ni ving'ang'anizi hivi?Nakutaarifu kwa mara ya mwisho siwezi kuoa shoga kama ulivyo weye!Nenda mitaani huko kajiuze hata vilabu vya pombe za kienyeji.
 
Waislamu ni washari sana, Wakristo ni wavumilivu sana.
Uislam unahubiri upanga kwa upanga. Ukristo unahubiri msamaha. Tena mafundisho yameenda mbali, samehe saba mara sabini kwa siku (mtu mmoja akikukosea kwa siku)
Sasa Crusaders ilikuwaje wakapigana vita? Vipi wale waliokuwa wakichomwa moto kwa sababu ya Blasphemy wakati ule kanisa lina nguvu huko Ulaya?

Nyinyi wenyewe mshajikatia tamaa tu, imani zenu nyinyi wenyewe hamziheshimu...msikimbilie kwenye sijui uvumilivu, sijui msamaha, sijui upendo, sijui kupigwa shavu la kushoto.
 
Hata wa bongo muvi waache kuigiza mambo ya kikristo kama dini hiyo si yao, unakuta muvi inaitwa fake pastor, mbona hawaigizi fake shaikh? Kwenye uislam wanaogopa maana kule bakora zitatembezwa mchana kweupe na hata kuharibiwa mali zao. Wasani waislam waache kuigiza mambo ya kikristo negativelly hayawahusu. Kama vipi waigize ya imani yao inayowahusu watajuana wenyewe huko
 
Ukristo unatoka kwa Yesu Kristo. Papa ni mtu tu, tena mtenda dhambi kama wewe na mimi.
Wewe na papa nani anijua dini?

Unaweza kumshinda papa kwenye imani lakini sio kuyajua maandiko ya kidini.

Sawa msome na yesu hapa ujue anasemaje kuhusu amani
2022_12_23_11_31_41-1.jpg
 
Sasa Crusaders ilikuwaje wakapigana vita? Vipi wale waliokuwa wakichomwa moto kwa sababu ya Blasphemy wakati ule kanisa lina nguvu huko Ulaya?

Nyinyi wenyewe mshajikatia tamaa tu, imani zenu nyinyi wenyewe hamziheshimu...msikimbilie kwenye sijui uvumilivu, sijui msamaha, sijui upendo, sijui kupigwa shavu la kushoto.
Umenena vema akhy.

Imani yao ishajichokea wanaanza kumuandama dullah makabila.

Waanze kuwaandama wasanii kama gwajima wanaojifanya wanafufua watu na kuponya vilema.

Dini yao imekaa kisanii ndo mana rahisi watu kuichezea.
 
Hata wa bongo muvi waache kuigiza mambo ya kikristo kama dini hiyo si yao, unakuta muvi inaitwa fake pastor, mbona hawaigizi fake shaikh? Kwenye uislam wanaogopa maana kule bakora zitatembezwa mchana kweupe na hata kuharibiwa mali zao. Wasani waislam waache kuigiza mambo ya kikristo negativelly hayawahusu. Kama vipi waigize ya imani yao inayowahusu watajuana wenyewe huko
Huko bongo muvi kwenyewe utakuta mtu anaitwa Hemed, au Mohamed! Ila kwenye muvi anajiita Frank, Richard, John, James, nk! Yaani hawa viumbe wanaupenda sana Ukristo! Ni vile tu ni wanafiki kupindukia.
 
Sasa Crusaders ilikuwaje wakapigana vita? Vipi wale waliokuwa wakichomwa moto kwa sababu ya Blasphemy wakati ule kanisa lina nguvu huko Ulaya?

Nyinyi wenyewe mshajikatia tamaa tu, imani zenu nyinyi wenyewe hamziheshimu...msikimbilie kwenye sijui uvumilivu, sijui msamaha, sijui upendo, sijui kupigwa shavu la kushoto.
Crusade ilijianzisha yenyewe?Sababu unazijua?Uchokozi kama huuhuu ndiyo ilikuwa sababu kuu.
 
Umenena vema akhy.

Imani yao ishajichokea wanaanza kumuandama dullah makabila.

Waanze kuwaandama wasanii kama gwajima wanaojifanya wanafufua watu na kuponya vilema.

Dini yao imekaa kisanii ndo mana rahisi watu kuichezea.
Huo mziki wenyewe katika Uislam ni haramu. Na wala hayaungwi mkono wanayoyafanya kina Dullah Makabila. Ila hawa wazee wa "hatumpiganii mungu wetu" wasimalizie frustration zao kwa Uislam na Waislam.
 
Dah!Mashoga ni ving'ang'anizi hivi?Nakutaarifu kwa mara ya mwisho siwezi kuoa shoga kama ulivyo weye!Nenda mitaani huko kajiuze hata vilabu vya pombe za kienyeji.
Kumbe ndo unapojiuzaga huko kwenye vilabu vya pombe.

Mimi sitaki ukajiuze nataka nkuoe sawa katoto kazuri.

Ntakubadili dini kutoka kuabudu sanamu mpka kumuabudu Allah.

Nimekwambia sema maghari unayotaka ntalipa.

Ukiona aibu kusema hapa njoo inbox.

Please usiende vilabuni tena kujiuza.
 
Unajiona fundi wa kuandika ujinga?Utoto umekutawala.Nakupuuzia!
 
Wewe na papa nani anijua dini?

Unaweza kumshinda papa kwenye imani lakini sio kuyajua maandiko ya kidini.

Sawa msome na yesu hapa ujue anasemaje kuhusu amani
View attachment 2455514
Yesu amani ambayo amekuja kuiondoa ni hii, wewe ukiacha dini yako, amani ya familia yako itapotea, watataka usimfuate Yesu.

Ukiwa mtu wa mizimu, ukaacha mikoba ukamfuata Yesu, hadi mizimu itakuandama.

Yesu ni mfalme wa amani
 
Back
Top Bottom