Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ukristo unatoka kwa Yesu Kristo. Papa ni mtu tu, tena mtenda dhambi kama wewe na mimi.U
Hivi hii habari ya ukristo unahubiri amani mnaitolea wapi?
Papa urban wa pili wakati anatangaza vita ya msalaba ndiyo amani mnayoizungumzia.