BASATA waweka wazi Nominations za Tanzania Music Awards. Ali Kiba Aongoza

Vip kuhusu Wizkid, Burna boy, Sauti sol na wengine walio wekwa kwenye hizo tuzo kutoka nje ya nchi wamejisali Basata? hiz tuzo hazieleweki tuu
 
Inashangaza, Ben pol yupo ila kiba hayupo, basata wamechemka
 
Vip kuhusu Wizkid, Burna boy, Sauti sol na wengine walio wekwa kwenye hizo tuzo kutoka nje ya nchi wamejisali Basata? hiz tuzo hazieleweki tuu
Ushasema wa nje, kwani wakwetu anavyoshiliki gram anaendaga kwenye vikao au kajiunga na cosota au basata za kule? Mi naongelea wa ndani ya nchi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli basata wanatakiwa kuwa weredi Sana kwenye hili, tatizo ya Tuzo kuandaliwa na serikal Huwa kuna kuwa na biased. Muda mwingne siasa zinaingia. Basata wangeacha hiz Tuzo ziandaliwe na wadau mbalimbali.

Leo Hii wasanii wakubwa Kama diamond, ney wa mitego, na wengine wengi hawapo na wapo main stream sana

Kingne kibongo bongo hizo Tuzo wangeziitaa tu bongo Flava music award. Coz Ndo wasanii wengi wametawala.Muziki wa aina nyingne umeguswa Kwa bahati mbaya tu.
 
BEST MALE MUSICIAN OF THE YEAR

HARMONIZE

PROFESSOR J

JUX

BEN PAUL

YOUNG LUNYA



ila mambo mengine ni ya ajabu kweli. yan eti msanii bora wa kiume wa mwaka, list ndio hii. halafu ukiona kwenye orodha hapo Ali Kiba ametawala karibu kila category, ila cha ajabu kwenye msanii bora wa mwaka yupo Ben paul ambeye mwaka 2021 sina hakika kama alitoa wimbo hata mmoja . na kama alitoa labda mmoja nao ujue haukufanya vizuri.


kwa mantiki hiyo ni halali Diamond alizikataa hizi tuzo. tusimuone labda ana majivuno, ila alishaona kuwa zipo kimichongo sana.
 
Wakisema watende haki.....
Hizo list zote zitajaa Alikiba tu, Mwamba 2021 ulikuwa ni mwaka wake. Alitoa kazi nyingi na zote zilipokelewa vyema.
Mfano, Ndombolo ilistahili kuwepo kwenye category karibu zote ila imetajwa sehemu moja tu.
Kwahiyo Ali Kiba atakuwepo hadi kwenye .....Female.....??
 
Vip kuhusu Wizkid, Burna boy, Sauti sol na wengine walio wekwa kwenye hizo tuzo kutoka nje ya nchi wamejisali Basata? hiz tuzo hazieleweki tuu
Romina:

Wao tayari kwao ni advantage wana fan base. Msanii pendwa kajitoa. Tuna changamoto ya kukosoa vya kwetu, kwenye tasnia hii hata kama BASATA wana makosa lazima tukubali hatua moja, bado ni hatua kubwa....
 
Tuzo za kiwaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…