THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Tafiti uzio / sababu ipi iliyoangaliwa msanii pendwa kutokuwekwa. Hii dhana ya kulalama ifike mahali ipitwe na inatufanya tunakuwa na low mentality intelligence na inapelekea kutugawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vip kuhusu Wizkid, Burna boy, Sauti sol na wengine walio wekwa kwenye hizo tuzo kutoka nje ya nchi wamejisali Basata? hiz tuzo hazieleweki tuuKama msanii, lazima pia kujisajili basata, wengine wanafanya mziki Ila hawajasajiliwa basata, ndomana kwenye list wengine wametemwa, na kuna michango hawatoi au hata kwenda kwenye vikao hawaendi, na super wetu kasema hatak tuzo zao, wakat alipewaga hizo tuzo, matokeo kawaharibia wenzake kina zuchu, na Ray.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wazo lako ndo nilikuwa nalifikilia hata mmHata mimi nimeona hivi mkuu, amewekwa kutokana na kinachoendelea lakini in reality mtu kama Nay Wa Mitego alifanya vizuri kuliko Prof
Inashangaza, Ben pol yupo ila kiba hayupo, basata wamechemkaMimi sio mtaalamu sana wa muziki.. nimeona AliKiba ametajwa kwenye orodha za mtunzi bora, album bora, Tuzo ya Afrika Mashariki, msanii anayefutiliwa sana mitandaoni, Mtumbuizaji bora,video bora, halafu kwenye tuzo ya msanii bora wa kiume hayupo? Inakuwaje? https://t.co/pUWPPhlhaP
Ushasema wa nje, kwani wakwetu anavyoshiliki gram anaendaga kwenye vikao au kajiunga na cosota au basata za kule? Mi naongelea wa ndani ya nchi.Vip kuhusu Wizkid, Burna boy, Sauti sol na wengine walio wekwa kwenye hizo tuzo kutoka nje ya nchi wamejisali Basata? hiz tuzo hazieleweki tuu
ETi wasanii ndo walipeleka Kazi. Ila album ya darasac ya mwaka 2020.Kwamba album ya darasa haikustahili, wakaiona ya wakazi
Tuzo hazijawah mtambua... Ndo sasa zimemuonaInashangaza sana Darmian soul kuwekwa kama up coming artist wakati ana miaka kama 7/8 hiv kwenye music na ametoa hits nying tuu
Duuh!Tuzo hazijawah mtambua... Ndo sasa zimemuona
Kwahiyo Ali Kiba atakuwepo hadi kwenye .....Female.....??Wakisema watende haki.....
Hizo list zote zitajaa Alikiba tu, Mwamba 2021 ulikuwa ni mwaka wake. Alitoa kazi nyingi na zote zilipokelewa vyema.
Mfano, Ndombolo ilistahili kuwepo kwenye category karibu zote ila imetajwa sehemu moja tu.
Una ushahidi wa unachosema?Ushasema wa nje, kwani wakwetu anavyoshiliki gram anaendaga kwenye vikao au kajiunga na cosota au basata za kule? Mi naongelea wa ndani ya nchi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Romina:Vip kuhusu Wizkid, Burna boy, Sauti sol na wengine walio wekwa kwenye hizo tuzo kutoka nje ya nchi wamejisali Basata? hiz tuzo hazieleweki tuu
Kwani vipi? Tatizo lako? Au underground nenda kajisajili basata na cosota.Una ushahidi wa unachosema?
Barnaba nae alisema hazitaki? ,Damian soul alipeleka kazi zake kipengele cha chipukizi?Ushasema wa nje, kwani wakwetu anavyoshiliki gram anaendaga kwenye vikao au kajiunga na cosota au basata za kule? Mi naongelea wa ndani ya nchi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
yaani n hovyo walivyopangaMimi sio mtaalamu sana wa muziki.. nimeona AliKiba ametajwa kwenye orodha za mtunzi bora, album bora, Tuzo ya Afrika Mashariki, msanii anayefutiliwa sana mitandaoni, Mtumbuizaji bora,video bora, halafu kwenye tuzo ya msanii bora wa kiume hayupo? Inakuwaje? https://t.co/pUWPPhlhaP
Tuzo za kiwakiWakuu habari za muda huu. Jana usiku BASATA waliweka wazi nominations za tuzo za Tanzania Music Awards kwa mwaka huu.
Vipengele ni vingi na wasanii pia ni wengi, walioongoza kwa nominations nyingi ni pamoja na Ali Kiba akifuatiwa na Professa Jay kisha Nandy na Harmonize.
Wasanii ambao watu walitarajia wawepo lakini hawapo ni pamoja na kundi zima la WCB, Jay Melody, Ibraah, Tommy Flavour, Mac Voice na wasanii wengine ambao mnaweza kuwaongeza hapo chini.
Makosa ni mengi kiukweli. Mathalan Professa Jay wanamuweka kwenye kipengele cha BEST MALE MUSICIAN PEOPLE'S CHOICE ON DIGITAL PLATFORMS lakini ukienda kuangalia hana maajabu yoyote kwenye streaming numbers maana huko Boomplay ana 3.5 million streams while mtu kama Darassa ana streams Millioni 13 huko Boomplay. Yaani kuna wasanii zaidi ya 60 wenye numbers zaidi ya Professa Jay na amewekwa kwenye category hii.
Pia bado sielewi kwanini albamu ya Stamina imeachwa kwenye kipengele cha albamu bora alafu wakaenda kuchukua ya Wakazi. Sisemi ya Wakazi ni mbaya, la hasha! Lakini ukiangalia albamu ya Stamina ilikuwa na impact kuliko ya albamu Wakazi ambayo most of you hata hamuijui meaning it had no any impact au influence kwenye uwanja wa Hiphop kwa mwaka 2021
Anyway nominations zenyewe (muhimu) ndio hizi hapa :
ALBUM OF THE YEAR
ONLY ONE KING - ALI KIBA
AIR WEUSI - WEUSI
HIGH SCHOOL - HARMONIZE
ONA - MARCO CHALI
LIVE AT SAUTI ZA BUSARA - WAKAZI
BEST VIDEO OF THE YEAR
I WISH -KUSSAH
SALUTE-ALI KIBA
UTANIAMBIA NINI-PROFESSOR J
MAPEPE-JUX
LISA - RAPCHA
BEST MUSIC COMPOSER
CHEGE
MAARIFA
STAMINA
ALIKIBA
MARIOO
BEST MUSIC LYRIST OF THE YEAR
ALIKIBA - UTU
MARIOO-MIAMOR
PROFFESSOR J-UTANIAMBIA NINI
RAPCHA-LISA
DARASA LOYALTY
BEST MUSIC VIDEO DIRECTOR OF THE YEAR
HANSCANA - NAANZAJE (DIAMOND PLATNUM)
TRAVELLAH - CHEKETUA (BARNABA FT ALI KIBA)
JOOZEY - MWENYE NYUMBA
NICKLASS - MADAM PRESIDENT (FRIDA AMANI)
DORECTORS - ZAI (MAUA SAMA)
BEST FEMALE MUSICIAN OF THE YEAR
FRIDA AMANI
NANDY
JOYCE S. MWAIKOFU
CHRISTINA SHUSHO
BEST MALE MUSICIAN OF THE YEAR
HARMONIZE
PROFESSOR J
JUX
BEN PAUL
YOUNG LUNYA
BEST UPCOMING FEMALE MUSICIAN OF THE YEAR
SARAPHINA
ABBY CHAMS
MARRY G
ZUHURA A. LWODYAH (Lolo Da Prince).
TRIXY TONIC
BEST UPCOMING MALE MUSICIAN OF THE YEAR
KUSSAH
KINATA MC
LODY MUSIC
RAPCHA
DAMIAN SOUL
BEST LOCAL COLLABORATION SONG OF THE YEAR
NDOMBOLO- KINGS MUSIC
SHIKILIA-PROFESSOR JAY
UNAUA VIBE - RAPCHA
LOYALTY- DARASA
LALA -JUX
BEST FEMALE MUSIC PERFORMER OF THE YEAR
MAUA SAMA
NANDY
SARAPHINA
SHILOLE
ANJELLA
BEST MALE MUSIC PERFORMER OF THE YEAR
HARMONIZE
ALIKIBA
SHOLO MWAMBA
DULLA MAKABILA
WHOZZU
BEST FEMALE MUSICIAN PEOPLE'S CHOICE ON DIGITAL PLATFORMS OF THE YEAR
NANDY
CHRISTINA SHUSHO
ROSA REE
MAUA SAMA
MARRY G
BEST MALE MUSICIAN PEOPLE'S CHOICE ON DIGITAL PLATFORMS OF THE YEAR HARMONIZE
MARIOO
ALI KIBA
JUX
PROFESSOR JAY
BEST MUSIC ARTIST FROM EAST AFRICA (BASED ON JUDGES' OPINION)
ALI KIBA
SAUTI SOL
ALFA
EDDY KENZO
SAUTI SOUL
NANDY
BEST MUSIC ARTIST FROM SOUTHERN AFRICA-(BASED ON JUDGES' OPINION)
SHO MADJOZ
FOCALISTIC
JEY ROX
DJ MAPHORISA
CASPER NYOVEST
BEST MUSIC ARTIST FROM WESTERN AFRICA (BASED ON JUDGES' OPINION) DAVIDO
BURNA BOY
WIZKID
TIWA SAVAGE
YEMI ALADE
BEST COLLABORATION SONG (AFRICA) OF THE YEAR
ATTITUDE - HARMONIZE ft. AWILLO LONGOMBA, H. BABA
MIAMOR-MARIOO ft. JOVIAL
LEO LEO-NANDY ft. KOFFI OLOMIDE
FREE YOUR MIND-JUX ft. BLAQ JERZEE
CHAWA -WHOZZU ft. RAYVAN, NTOSH GAZI
BEST MALE BONGO FLAVOR MUSICIAN OF THE YEAR
JUX
BEN PAUL
HARMONIZE
MARIOO
WHOZZU
BEST BONGO FLAVOR SONG OF THE YEAR
SAWA-JUX
BIA TAMU-MARIOO
TEACHER-HARMONIZE
ZAI-MAUA SAMA
NIMEKUZOEA-NANDY
BEST FEMALE BONGO FLAVOR MUSICIAN OF THE YEAR
NANDY
ROSA REE
ANJELLA
SARAPHINA
MARRY G
BEST FEMALE HIPHOP MUSICIAN OF THE YEAR
ZUHURA A. LWODYAH (Lolo Da Prince)
CHEMICAL
LISS LA MODE
ROSA REE
FRIDA AMANI
BEST MALE HIP HOP MUSICIAN OF THE YEAR
PROFESSOR J
YOUNG LUNYA
DARASA
RAPCHA
NEY WA MITEGO
BEST HIP HOP SONG OF THE YEAR
UTANIAMBIA NINI - PROFESSOR J SWAGG-JOH MAKINI
MBUZI-YOUNG LUNYA
MADAM PRESIDENT-FRIDA AMANI
LISA -RAPCHA