BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini

Basata hawana msaada wowote kwa wasanii zaidi ya kuwapiga faini na kuwafungia.
 
Nguo ya nandy ya kawaida sana sana. Mwimbo kudos na yule mdada nayo ya kawaida sana sana sana!
 
Wanastahili hao si chawa wa mama,walipe tu tena hizo fain ni ndogo sana walipishwe fain kubwa hela za ccm wanazo nyingi
 
Kwa hiyo msanii anaweza kuvunja maadili ya BASATA, akaitwa na BASATA, wakakubaliana BASATA imtoze faini ya sh 5m, akalipa, na BASATA wakamwambia akaendelee na kazi yake.

Hakuna cha amevunja kifungu gani cha sheria au kanuni za BASATA, wala hiyo faini YA 5m ni kwa mujibu wa kifungu gani cha BASATA. Ni mwendo wa BASATA imevuta mshiko baaaasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…