BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini

Labda waseme harmonise kavunja maadili ya WAISLAMU SIYO YA WATANZANIA
 
Aah ule wimbo wa harmonize daa mdada ana makebo yule, afu kavaa kichupi kimemezwa na makebo.

Bila kuona mkanda wa chupi unaweza sema yupo uchi.

Watoto hawapaswi kuitazama
 
'Salamu ziwafikie basata,
Msumeno usiyokata,
Hivi nyie kuku au bata?
Mnajua kufungia nyimbo,
mnajua tunazozipata?

Mngekuwa watoto nishawachapa'

Ney wa Mitego- Shika adabu yako
 
Bandiko lako lingependeza tungeona hilo vazi la huyo Nandi na hiyo video inayotueleza kuwa wimbo unaitwa Kudos wa kijana Harmo anayevaa vipini kwenye pua.
 
Milioni 5 sio kiasi cha kumshinda Harmonize kulipa, pengine kufikia kesho asubuhi BASATA wakatangaza kumwachia

Japo tangu nawafahamu hao BASATA, sijawaona wakitoa semina ama kujenga platform ya kuwafanya wasanii na Sanaa kwa ujumla ikue

Wao wanadeal na kuwafungia tu pamoja na fainiπŸ™Œ
 
well done BASATA 🀝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…