BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini

Huwa sifuatilii nyimbo za Kibongo, katika hili BASATA nawashukuru sana kwa kuu promote ule wimbo, maana baada ya promotion ya BASATA ilibidi niende kuuangalia.
Kubabeki, Gule gu Gudemu gumenikosha sana. Bonge la video
 
maadili ya nani, kule YouTube kuna zaidi za kina konde boy na tunaziona zote, mambo ya kishamba sana
 
Jifunze kitu..ukikuta unachangia Uzi kurasa za mbele..nenda kwanza kurasa za mwanzo itakusaidia sana
 
Wallah hapa huyu Nandy aimba yupo uchi huyu, mie niitwe mshamba tu
 
Jifunze kitu..ukikuta unachangia Uzi kurasa za mbele..nenda kwanza kurasa za mwanzo itakusaidia sana
Hiyo adhabu ya 5m au 3m ni kwa mujibu wa kifungu gani cha kanuni za basata?

Madhumuni ya kuwachaji pesa zote hizo, 5m au 3m, hasa hawa wasanii wetu wanaojitafuta ni nini?

Adhabu lazima iendane na uzito wa kosa na uwezo wa mkosaji kulipa

Wewe trafiki akikuandikia faini ya 5m kwa kundesha gari 65km badala ya 50km utaweza kulipa? Halafu akuambie huruhusiwi kuendesha basi au lori lako hilo hadi ulipe hiyo faini.
 
Soma unielewe..hoja zako zilikuwa ni hizo adhabu zinatolewa kwa nguvu gani ya kisheria...ndio nikukuambia ukiukuta Uzi njiani..soma ukurusa wa mwanzo...kwenye huu Uzi mwanzo lipo tangazo lenye vifungu vya kanuni na Sheria zilizopelekea hizo adhabu.
Majina mengine mnayojipa haya...
 
Hawa watu wamekuwa kama miungu fulani hivi...
 
Video yenyewe ya kawaida sana . Hawa Basata takataka wanatafuta kiki
 
Mkuu kwani Basata ni Taasisi kama ilivyo Tff inajitegema yenyewe ?
Taasisi ya kiserikali ila ina jitegemea kimajukumu, tff wako chini ya fifa na sio serikali, basata wapo chini ya serikali ila wana majukumu Yao kisheria na wanajitegemea
 
Hivi jina Faustina Charles Mfinanga ilina adjustiwa vp hadi linakuwa Nandy
Ukichukua Mfinanga unapata nan alfu dy ( dy itakuwa alitoa kwenye calculus, kwenye yale mambo ya dy/dx akaona achukue dy aachane na dx ) ndio akapata jina nandy 🫩
 
Ukichukua Mfinanga unapata nan alfu dy ( dy itakuwa alitoa kwenye calculus, kwenye yale mambo ya dy/dx akaona achukue dy aachane na dx ) ndio akapata jina nandy 🫩

Mzee naona unashuka nyanga za nyoka na dy/dx...
 
Hivi jina Faustina Charles Mfinanga ilina adjustiwa vp hadi linakuwa Nandy

Kafupisha toka jina lake jingine Nandera ambalo pia ni la bibi yake (kama sijakulisha kasa hapo kwenye bibi yake)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…