bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Mwaka 1994 Bashar aliitwa nyumbani kutoka Uk alipokuwa akipata doctorate katika fani ya ophthalmologist. Mwito huu ni kutokana n kifo cha kaka yake Bassel katika ajali ya gari, Bassel ndio aliyekuwa akiandaliwa kupokea madaraka.
Baba yao dictator aliyebadilisha jina la ukoo wake kuwa al Asaad akimaanisha Simba ilibidi achange karata kati ya watoto wake wawili wa kiume waliobaki yupi atafaa kupokea madaraka. Watoto hao ni Majd na Bashar ndio walikuwa watoto wake, huyo Majd mdogo wake Assad alikuwa mkali sana, magomvi kila sikuu huku Assad alikuwa mpole asiye na mambo mengi, kwa hivyo mzee aliamua kumpa Assad maana kama angempa mdogo wake asingeweza kudumu madarakani.
Mwaka elfu mbili baba yao alipofariki Assad akapokea kijiti Huu ilikuwa wakati sahii wa Assad kuweka mambo sawaa na taifa teule na west countries. Kwani baba yake alifanya kila jambo ili apate access na west, silaha , technology na mambo mengine hii ilitokana na jamii yao kuonekana kama makafiri kwa waislamu na waarabu wenzao. Lakini cha ajabu Assad na myopic vision yake akawakumbatia Iran watu ambao wanawaona wao kama makafiri.
Assad docta wa macho asiyeweza kuona mbali leo kimemramba.