Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

Really, are you serious?

Hii miaka 13 iliyopita Assad alikuwa anafanya nini?

Kama hakutaka mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa nini hakuondoka Syria tangu 2011?
kwa wakati huo alikuwa na nguvu za kujitutumua lakini baada ya kuishiwa nguvu kaona bora apotee tu
 
kwa wakati huo alikuwa na nguvu za kujitutumua lakini baada ya kuishiwa nguvu kaona bora apotee tu
Kwa hiyo hakukwepa mtego wa kuiingiza nchi kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe, kwa sababu kashaiingiza nchi kwenye vita hiyo kwa miaka 13 iliyopita.
 
What about George Bush?.
 
Angekuwa na busara Syria isingefika huku, na hata yeye asingekimbia Syria bali angekuwa anaishi maisha ya heshima hapo Damascus.

Viongozi kama hawa hutolewa kwa mtutu sio box za kura.
 
SHEIKH HIZI PROPAGANDA WATU WAMESHAZISHTUKIA. TUNAPOTEZA MUDA.ASSAD KASHINDWA URUSI HAWAKUWA TAYARI MSADIA WAPO VITANI NAO. IRAN IMELEMAZWA NA ISRAEL, HIZBLULLAH NAO WAMELEMAZWA. PERIOD.KAKIMBIA NCHI. HE WAS JUST ALONE AND HELPLESS. HAYA MENGINE NI KUJITEKENYA WENYEWE NA KUCHEKA.
 
Sijui kwanini kuna watu mipoyoyo imetanguliza hisia za kidini tena kwa dini ambayo karithishwa hata hajui ilianzaje anzaje zaidi ya kumezeshwa maneno.
 
Mnajua kuanguka na kuinuka.

Haya bhana, yetu masikio
 
Punguzeni chuki nyie watangaza ushoga
Kama ningekuwa na mamlaka ningekamata kobazi wote na kuwaweka sehemu moja kisha nawajengea madrasa kama zote. Maana elimu dunia hamtaki eti mnasubiri mabikra 72 na mito ya pombe na maziwa huku mkidai majini ni ndugu zenu 😂😂😂😂😂😂
 
Kobaz Religion War Derby kati ya Sunni na Shia imekwisha na Sunni kupata ushindi, pande mbili zilikuwa zikisaidiwa na makafir,Sunni wakisaidiwa na makafir wa USA na Israel huku Shia wakisaidiwa na makafir wa Russia.
 
Kama ni suala la busara na kuiepusha Syria na madhara makubwa, kwa nini Assad hakutumia busara hiyo mwaka 2011 na kuiepusha Syria na vita ya miaka 13?

Hujajibu swali hili.
Miaka 13 mingi,matukio yaliyotokea yanaweza badili fikra, assad hata pesa ya kuendesha serikali ilikua shida, imagine wanajeshi walikua wakilipwa $20 kwa mwezi
 
Angejidai kuwa king’ang’nizi na kupambana angeishia kama Muammar Gaddafi.

Hii ilikuwa “special operation” ya ukweli sio ile ya Putin inayosubiri kuhitimishwa na Trump.
Hata ya Putin Zelensky asingekua na wanajeshi imara wanaopigania nchi yao kizalendo ilikua kwishnei kipindi cha Wagner tu
 
Huo mbuyu sijui mtuung'oa vipi hao IRGC sio majeshi Assad hawarudi nyuma shee
tayari RAIS wenu wa Iran kagoma kusaini sharia Kali dhidi ya mavazi ya wanawake ....hapo vipi jiandaeni wakeni suni wataanza kuvaa bikini mtaani
 
Kwa hiyo hakukwepa mtego wa kuiingiza nchi kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe, kwa sababu kashaiingiza nchi kwenye vita hiyo kwa miaka 13 iliyopita.
hakuna kitu kama hicho jeshinlilimkimbua lote maana hakuwa na fedha za kuwalipa,japo aliwaaga kwa kuwapa fedha kidogo na kuwaambia wasipigane
 



Bashar al Assad kafiri Nusayri ameanguka. Al hamdulillah. Ma nusayri sio waislam. Dola la kishia la Iran na Hezboshaytaan wa Lebanon pamoja na ndugu zao akina Putin walishirikiana na walimsaidia huyu nusayri Bashar kuua ndugu zetu Syria.

Bashar ameua waislam wengi kuliko Netanyahu.

Sasa hivi kafiri dhalimu Putin anashughulishwa huko Ukraine. Hezboshaytaan wanashughulishwa/wanashughulishana na madhalimu na makafiri wa kizayuni.

Allah awashughulishe madhalimu kwa madhalimu wengine na awatoe Waislam katikati yao kwa salama, Aameen.

Allah awape amani watu wa Syria, na awaunganishe katika kuifuata Qur'aan na Sunnah juu ya ufahamu wa wema waliotangulia, Aameen.

Allah airudishe Iran katika mikono ya waislam tena, Aameen.

Allah awanusuru ndugu zetu wapalestina na wengine wanaodhulumiwa kote, Aameen.
 
Mkuu mimi nilikuwa nashabikia yeye abaki ila sasa tukubali kuwa maji yamezidi unga. Angekuwa ameona kama unavyosema asingetangaza kuwa wanajeshi amewapandisha mshahara 50% wazidi kupambana juzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…