Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad asijibu mapigo yeyote ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa Syria. Ingekua wavamizi ni wageni kutoka nje ya Syria nadhani pangechimbika.

Kila la heri nakutakia maisha mema huko Urusi.
Wanajeshi wa Syria wameamua kutopigana ili kuilinda nchi Yao dhidi ya Hila na fitina kutoka nje hii nayo ni busara ya Hali ya juu sana. Kwahiyo kwa mtazamo wangu Assad amemaliza vizuri sana kazi ipo kwa hao aliowaachia nchi Wana nafasi ama kuiingiza korongoni ama kuijenga na kuilinda nchi Yao. Assad ameshatoka maagizo kuwa nchi ikabidhiwe kwa amani kwa watakaokuja na hilo limetekelezwa.View attachment 3172708

Kwani mngesemaje mashabiki wa Urusi na vita?
 
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad asijibu mapigo yeyote ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa Syria. Ingekua wavamizi ni wageni kutoka nje ya Syria nadhani pangechimbika.

Kila la heri nakutakia maisha mema huko Urusi.
Wanajeshi wa Syria wameamua kutopigana ili kuilinda nchi Yao dhidi ya Hila na fitina kutoka nje hii nayo ni busara ya Hali ya juu sana. Kwahiyo kwa mtazamo wangu Assad amemaliza vizuri sana kazi ipo kwa hao aliowaachia nchi Wana nafasi ama kuiingiza korongoni ama kuijenga na kuilinda nchi Yao. Assad ameshatoka maagizo kuwa nchi ikabidhiwe kwa amani kwa watakaokuja na hilo limetekelezwa.View attachment 3172708
We jamaa bhana.....

Vita vya wenyewe kwa wenyewe vipo Syria toka mwaka 2011,
 
We jamaa bhana.....

Vita vya wenyewe kwa wenyewe vipo Syria toka mwaka 2011,
Vilikuwepo lakini havikufanikiwa kumtoa madarakani ila safari hii ilikua lazima Aidha akubali kumwaga damu au apishe kwa amani. Amechagua amani wenye Hila na fitina wameshindwa
 
Mkuu mtu mdini siyo mpaka aseme yeye ni mvaa kobazi au Mkristu/Mkristo, angalia hata mada zako nyingi unazoleta humu lazima mtu atajua tu kuwa wew ni mvaa kobazi. Anyway kama ulivyosema tuishie hapa nisiharibu uzi wako au kukukwaza
Kwasababu naipinga Israeli au napingana na marekani unaweza kuniitia hivyo na kwasababu nawaunga mkono wapalestina una Haki ya kuniona ni mdini ila ni mtazamo wako tu .Mimi ni shabiki mkubwa wa nchi zinazopingana na marekani na washirika wao. Mimi nawasapoti Korea kaskazini, urusi , china na wengine wanaofanana na hao. Ila siwezi kukuona wewe ni mkristo kwa kuwa upo upande wa Israel au Marekani hilo ulijue.
 
Ngoma ngumu alishazidiwa. Kama angetaka kuachia madaraka angeachia siku ya kwanza kwa hiari si kwa kufurushwa ikulu na kukimbia pasipojulikana....
Ngoma haijawa ngumu kwasababu Assad hakuamua kupigana maeneo yote waasi walipofika aliamuru Majeshi yake yaondoke yasipigane kwahiyo hakuna vita iliyopiganwa kumuondoa ikulu .
 
Bashar al Assad kafiri Nusayri ameanguka. Al hamdulillah. Ma nusayri sio waislam. Dola la kishia la Iran na Hezboshaytaan wa Lebanon pamoja na ndugu zao akina Putin walishirikiana na walimsaidia huyu nusayri Bashar kuua ndugu zetu Syria.

Bashar ameua waislam wengi kuliko Netanyahu.

Sasa hivi kafiri dhalimu Putin anashughulishwa huko Ukraine. Hezboshaytaan wanashughulishwa/wanashughulishana pamoja na madhalimu na makafiri wa kizayuni.

Allah awashughulishe madhalimu kwa madhalimu wengine na awatoe Waislam katikati yao kwa salama, Aameen.

Allah awape amani watu wa Syria, na awaunganishe katika kuifuata Qur'aan na Sunnah juu ya ufahamu wa wema waliotangulia, Aameen.

Allah airudishe Iran katika mikono ya waislam tena, Aameen.

Allah awanusuru ndugu zetu wapalestina na wengine wanaodhulumiwa kote, Aameen.
Ameen Sheitwyan..
 
Maneno ya kujifariji tu hayo!

Baada ya watu wote hao kufa tokea 2011.

Baada ya matumizi ya silaha za kikemikali dhidi ya raia wake [2013 Ghouta chemical attack], leo baada ya kufurumishwa ndo unamsifia?

Assad should be tried for crimes against humanity.
Hajaleta upinzani wowote kwa waasi na jeshi alikua nalo kwahiyo namsifia kwa kuchukua uamuzi wa busara kuepusha mapigano na kuwaachia nchi Yao salama . Unaonaje kama angechukua uamuzi wa kupigana ?
 
Nadhani pia ametathimini kuwa asingeshinda. Binafsi ninamsifu pia kwa calculation aliyoifanya na kuchukuwa maamuzi ya kukubali kushindwa. Tumeshuhudia viongozi baadhi walioamua kujitoa ufahamu na kuendelea kupambana na mwisho wao ULIKUWA WA FEDHEHA KUBWA KULIKO HII YA ASSAD. Angalau yeye na familia yake wametoka salama
Kushindwa au kushinda ni matokeo ya vita lakini mbaya zaidi ilikua anatakiwa kupigana na wananchi wake hujauona mtego huo? Ingekua wanaopigana nae wametoka nje ya Syria sidhani kama angeruhusu jeshi lake lisijibu mashambulizi. Ameepusha nchi yake na vita ya wenyewe kwa wenyewe inayochochewa na wenye Hila na fitina waliopo nje ya nchi yake.
 
Acha kutetea upuuzi, Assad kashindwa sio kwamba hatamani madaraka, jamaa halina shukranii hata wanajeshi wanaomlinda hawajali eti mpka siku ya vita ndio anaona umuhimu wao, ndiomaana wamegoma kupigana, huyo dicteta anatakiwa kunyongwa hadharani dunia ishuhudie
Mtu aliyeshindwa ni mtu aliyepigana. Lakini Assad hakupigana Kila mji walioingia waasi aliamuru Majeshi yake yaondoke huo siyo uwoga ni Hekima .
 
Bro syria haitakuwa kama Libya trust me. Pale hesabu zote zishapigwa ni shia na Iran tu zile ushawishi wake hawautaki. Lakini hakuna kinachokwenda kuharibika. Pale Uturuki yupo asilimia 100 ndio injinia na hatakubali tena migrants.
Tuwaombee amani maana kwa sasa makundi ya waasi yapo zaidi ya 6 na Kila Moja Lina malengo yake.kumbuka hawa walioingia Damascus wanaungwa mkono na uturuki ambaye anawapinga wakurdi ambao nao wamo humo humo Syria.
 
Kama ni suala la busara na kuiepusha Syria na madhara makubwa, kwa nini Assad hakutumia busara hiyo mwaka 2011 na kuiepusha Syria na vita ya miaka 13?

Hujajibu swali hili.
Wakati ulikua Bado.hivi sasa ameona wakati umefika. Nadhani Busara Haina muda maalumu wa kutumika
 
Yani mtu kashindwa kusoma alama za nyakati tangu 2011 halafu umsifie kwa kusoma alama za nyakati mwaka 2024 wakati nchi ishachakazwa na watu wasiohesabika washakufa na kuumizwa?
Kwani Kuna sheria ya kusoma alama za nyakati? Kwamba usiposoma hizo alama mwaka Fulani ukija kuzisoma mwaka unaofuatia utakua umekosea.?
 
Hawa wavaa kobazi bana! Ni mafundi wa kupindua maneno. Ukweli ni kuwa walijichanganya kuingilia vita ya Gaza wakijifanya ni wakombozi wa Wapalestina wa Mchongo sasa Israel kawabomoa kuanzia Hezbollah, jeshi hana; Iran kapigwa ile round ya mwisho kiasi kwa airforce yake ime paralyze; Syria zana zake za kivita nyingi zimelipuriwa hivyo wakawa hawana uwezo tena wa kijeshi.
SASA TUWAULIZE HII TORAH INAYOPATA MIAKA 500 ILIKUWA INAFANYA NINI KULE KWENYE IKULU YA BASHAR AL ASAAD

View: https://x.com/khaybarjew/status/1865853012301730036

Asante kwa kuchangia
 
Hajui chochote huyu. Hajui hata kuna wakati kama sikosei Assad alitumia mabomu ya sumu kuua watu wake. Huenda ameanza kufuatilia vita hivi siku za karibuni.
Suala la kiongozi kuuwa Wananchi wake Aidha kisiasa au kwa namna yeyote ile haikubaliki na hii siyo kwa Syria tu nchi zote serikali zinauwa watu wake. Assad kuangushiwa zigo la lawama na kutafutiwa sababu za kuachia ikulu zipo wazi marekani lengo lake ni kuweka utawala anaoutaka yeye kama alivyofanya kwa sadam Hussein kule Iraq. na hata hivyo marekani ameingia kibabe Syria mpaka sasa Kwa hiyo Assad kwa kulitambua hilo alikua anajua anapambana na nani. Kama ulikua hujui basi ndio ufahamu hivyo. Watu siyo wajinga
 
Irani kashauri nini wewe bwege.. katuma midege iliyojaa silaha Israel kayatisha yakageuza yalipotokea.. wanajeshi kuongezwa mshahara vita ilipowadia ilikuwa dharau kubwa sana Assad alifanya wakagoma kufight ila uwezo ulikuwa ni mkubwa sana.. waasi ni wadhaifu tu.. kilichosaidia wimbi la kumchoka Assad kwani aligoma kuunganisha raia kwa umoja and kukumbatia Iran zaidi.. ndio maana alipokufa Nasrallah shangwe ilikuwa kubwa sana Nchini syria
😂😂😂😂 Punguza hasira mkuu
 
Back
Top Bottom