Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

Litakuwa jambo la ajabu kama Assad hatafunguliwa mashtaka ya uhalifu wa kivita......
Sidhani kwasasa yupo Moscow amepewa hifadhi ya kibinadamu na amehakikishiwa usalama wake na familia yake na Rais Putin wa Russia.
 
Really, are you serious?

Hii miaka 13 iliyopita Assad alikuwa anafanya nini?

Kama hakutaka mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa nini hakuondoka Syria tangu 2011?
Ndio shida ya Wenye akili za kushikiwa. Hapo kaona kaandika kweli kweli.
 
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad asijibu mapigo yeyote ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa Syria. Ingekua wavamizi ni wageni kutoka nje ya Syria nadhani pangechimbika.

Kila la heri nakutakia maisha mema huko Urusi.
Wanajeshi wa Syria wameamua kutopigana ili kuilinda nchi Yao dhidi ya Hila na fitina kutoka nje hii nayo ni busara ya Hali ya juu sana. Kwahiyo kwa mtazamo wangu Assad amemaliza vizuri sana kazi ipo kwa hao aliowaachia nchi Wana nafasi ama kuiingiza korongoni ama kuijenga na kuilinda nchi Yao. Assad ameshatoka maagizo kuwa nchi ikabidhiwe kwa amani kwa watakaokuja na hilo limetekelezwa.View attachment 3172708
Unajifariji sasa baada kuona jamaa kakimbia nchi. Hapo hakuna kuwa aliogopa kumwaga damu, alishazoea kumwaga damu huyo.

Ila huo ulikuwa ni mziki mnene very tactical, wataalamu wamekaa chini ni muda gana na wakati gani watu waanzishe zoezi lao la kuchukua nchi.
 
Angejidai kuwa king’ang’nizi na kupambana angeishia kama Muammar Gaddafi.

Hii ilikuwa “special operation” ya ukweli sio ile ya Putin inayosubiri kuhitimishwa na Trump.
Putin kashatoa masharti makuu mawili ya kusitisha vita.kama ifuatavyo
1. Maeneo yote ya iliyokua Ukraine ambayo kwasasa yapo chini ya Urusi Ukraine iyasahau kwa sasa ni sehemu ya Russia

2. Hakuna Ukraine kujiunga na NATO

Inaonekana Trump anakubaliana na maoni Rais Putin
 
Really, are you serious?

Hii miaka 13 iliyopita Assad alikuwa anafanya nini?

Kama hakutaka mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa nini hakuondoka Syria tangu 2011?
Na kwa nn Assad aliwaambia Urusi waufute mji wa Allepo hiyo miaka?na Urusi kwa kutumia ndege vita zake aliuuwa kila kumbe alichoona kinatembea? Mji ukageuka zaidi ya Gaza. Halafu leo wanasifiwa
 
SHEIKH HIZI PROPAGANDA WATU WAMESHAZISHTUKIA. TUNAPOTEZA MUDA.ASSAD KASHINDWA URUSI HAWAKUWA TAYARI MSADIA WAPO VITANI NAO. IRAN IMELEMAZWA NA ISRAEL, HIZBLULLAH NAO WAMELEMAZWA. PERIOD.KAKIMBIA NCHI. HE WAS JUST ALONE AND HELPLESS. HAYA MENGINE NI KUJITEKENYA WENYEWE NA KUCHEKA.
Asante kwa kutoa maoni yako
 
Mkuu mimi nilikuwa nashabikia yeye abaki ila sasa tukubali kuwa maji yamezidi unga. Angekuwa ameona kama unavyosema asingetangaza kuwa wanajeshi amewapandisha mshahara 50% wazidi kupambana juzi.
Kawaongezea mishahara na kuwaambia wasipigane .
 
Kama ni suala la busara na kuiepusha Syria na madhara makubwa, kwa nini Assad hakutumia busara hiyo mwaka 2011 na kuiepusha Syria na vita ya miaka 13?

Hujajibu swali hili.
Bila shaka amechukua approach hii baada ya kuona madhara ya 2013, hivyo hajataka yajirudie
 
Waasi wameanza kupigana wenyewe kwa wenyewe.
Kwa hiyo maagizo ya Assad yamekiukwa siyo? Hajafanikiwa kuwashawishi kwamba wagawane madaraka kwa amani.

Ingekuwa vema angewasubiri waasi wafike wamkute ikulu ya Syria. Awagawie madaraka hayo unayoyasema, ndipo akapeana mikono nao ya kuagana. Sasa yeye anasema wagawane madaraka akiwa angani na ndege? Amekosea sana.
 
Unajifariji sasa baada kuona jamaa kakimbia nchi. Hapo hakuna kuwa aliogopa kumwaga damu, alishazoea kumwaga damu huyo.

Ila huo ulikuwa ni mziki mnene very tactical, wataalamu wamekaa chini ni muda gana na wakati gani watu waanzishe zoezi lao la kuchukua nchi.
Sasa mkuu najifariji kwani Mimi raia wa Syria au nina undugu na Assad? Nimetoa maoni yangu kulingana na nilivyoona na hili ni jukwaa huru na wewe unaruhusiwa kutoa mtazamo wako unavyoona .
 
tayari RAIS wenu wa Iran kagoma kusaini sharia Kali dhidi ya mavazi ya wanawake ....hapo vipi jiandaeni wakeni suni wataanza kuvaa bikini mtaani
Rais yule taarab tu nchi ni Ayatollah
 
Kwa hiyo maagizo ya Assad yamekiukwa siyo? Hajafanikiwa kuwashawishi kwamba wagawane madaraka kwa amani.

Ingekuwa vema angewasubiri waasi wafike wamkute ikulu ya Syria. Awagawie madaraka hayo unayoyasema, ndipo akapeana mikono nao ya kuagana. Sasa yeye anasema wagawane madaraka akiwa angani na ndege? Amekosea sana.
😂😂😂
 
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad asijibu mapigo yeyote ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa Syria. Ingekua wavamizi ni wageni kutoka nje ya Syria nadhani pangechimbika.

Kila la heri nakutakia maisha mema huko Urusi.
Wanajeshi wa Syria wameamua kutopigana ili kuilinda nchi Yao dhidi ya Hila na fitina kutoka nje hii nayo ni busara ya Hali ya juu sana. Kwahiyo kwa mtazamo wangu Assad amemaliza vizuri sana kazi ipo kwa hao aliowaachia nchi Wana nafasi ama kuiingiza korongoni ama kuijenga na kuilinda nchi Yao. Assad ameshatoka maagizo kuwa nchi ikabidhiwe kwa amani kwa watakaokuja na hilo limetekelezwa.View attachment 3172708
Angefanya hivyo na 2011 ndio bandiko lingeleta maana, assad kwa lugha nyepesi kafurushwa na hao iran na urusi wamebanwa mbavu hawakuwa na.msaada tena.
 
Namshukuru Mungu aliniepusha nisiwe wa dini hii, inawezekana wakati huu na mimi ningekuwa mjinga kama huyu
 
Putin kashatoa masharti makuu mawili ya kusitisha vita.kama ifuatavyo
1. Maeneo yote ya iliyokua Ukraine ambayo kwasasa yapo chini ya Urusi Ukraine iyasahau kwa sasa ni sehemu ya Russia

2. Hakuna Ukraine kujiunga na NATO

Inaonekana Trump anakubaliana na maoni Rais Putin
Subiri. Trump ndiye mwenye kauli ya mwisho. Usimkisie.
 
Kawaongezea mishahara na kuwaambia wasipigane .
mbona taarifa niliyoona wion ilikuwa tofauti wakati aliwaongeza mishahara kuwapa morali ya kupigana. Mkuu hata unalosema halimake sense mtu anakuongeza mshahara ili usipigane serikali ianguke sasa huo mshahara atakulipa nani?
 
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad asijibu mapigo yeyote ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa Syria. Ingekua wavamizi ni wageni kutoka nje ya Syria nadhani pangechimbika.

Kila la heri nakutakia maisha mema huko Urusi.
Wanajeshi wa Syria wameamua kutopigana ili kuilinda nchi Yao dhidi ya Hila na fitina kutoka nje hii nayo ni busara ya Hali ya juu sana. Kwahiyo kwa mtazamo wangu Assad amemaliza vizuri sana kazi ipo kwa hao aliowaachia nchi Wana nafasi ama kuiingiza korongoni ama kuijenga na kuilinda nchi Yao. Assad ameshatoka maagizo kuwa nchi ikabidhiwe kwa amani kwa watakaokuja na hilo limetekelezwa.View attachment 3172708
Alikuwa wapi miaka 13 iliopita kutumia busara hizi.. alitumia hadi sumu kwa raia wake mwenyewe..

Angekuwa na busara basi 13 yrs ago kipindi wanaandamana asingewapiga risasi na mabomu... alitumia hadi gas za sumu

Punguza mahaba hata kama una upande kama Herufi ni "A" sema ni "A" sio useme oh hii ni "V" iliogeuka sema ina kimstari kati
 
Subiri. Trump ndiye mwenye kauli ya mwisho. Usimkisie.
Kwa Urusi hakuna Rais wa marekani anaeweza kupinga maamuzi ya Urusi wanashauri tu hata Trump atashauri tu lakini hawezi kuamua lolote sana sana labda kuisaidia silaha Ukraine
 
Back
Top Bottom