Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

Kuna Mfungwa mmoja Alikuwa ni Mpinzani wa Serikali ya Baba yake Assad Hefez Al Assad, anasema kafungwa Miaka arobaini na ushee iliyopita. anasema aliingia Kijana mdogo Barubaru katoka Mzee na meno yote hana Familia yake iliambiwa kuwa keshauwawa.

Kaachiwa Jana😢😥
 
Assad kakimbia kwa sababu kapigwa, kashindwa kulipa wanajeshi wake, kakosa support ya Warusi, Hizbollah na Wairan.

Hicho ni kipigo tu, hakuna busara hapo.
Au labda Assad ni kama mandonga.

Akipigwa ni kama kapiga.
 
Your browser is not able to display this video.

Watu kama leo wameikimbia Nchi ya Syria wanaenda kuyaanza maisha ya Ukimbizini.
 
Uwongo mkubwa
 
Au labda Assad ni kama mandonga.

Akipigwa ni kama kapiga.
Saddam alikuwa na Waziri wake mmoja Comical Ali. Alikuwa anaweza kubadilisha story yoyote ionekane Saddam mshindi. Haya kama kapigwa wazi kabisa.

Sasa na hapa JF tunaona ma Comical Ali wa Assad.
 
Kumbe!?
Hata Mimi Hali ya ndege ya Assad kupotea kwenye rada na baadae kusemekana kua huenda ndege iliripuliwa na Assad kuhofiwa kufa ilinishangaza sana,Cha ajabu baadae ikasemwa Yuko Moscow,aisee!!
 
Kumbe!?
Hata Mimi Hali ya ndege ya Assad kupotea kwenye rada na baadae kusemekana kua huenda ndege iliripuliwa na Assad kuhofiwa kufa ilinishangaza sana,Cha ajabu baadae ikasemwa Yuko Moscow,aisee!!
Waasi wameingia damascus hakuna hata mia bank kuu dhahabu almasi yote ilishahamishiwa Moscow nafikir dege kubwa lilionekana kwenye rada likienda Moscow to damascus zaidi ya round sits linahamisha mali, Western limewauma sana hilo, suala lingine ni Putin kukwepa civil war syria ili kumdhoofisha zaidi Putin na Iran kabla ya yote kamwondoa Assad katulia pembeni anawachora na magaidi wao huku akiendelea kumshughulikia Zeleboy taratibu akimsubiri trump, bila hekima ya Putin Trump angeingia madarakani dunia iko WWW III democratic walilidhamiria hilo...
 
Kakimbia bana kama mwizi acha kuremba maneno, wafadhili wake hawakuwa na uwezo wa kumbeba tena eti kaepusha vita muuaji kama huyu anajali kitu zaidi ya madaraka?? Maji yalizidi unga tu. Hata kama una mahaba na Urusi na Iran ukweli unaujua
 
Kakimbia bana kama mwizi acha kuremba maneno, wafadhili wake hawakuwa na uwezo wa kumbeba tena eti kaepusha vita muuaji kama huyu anajali kitu zaidi ya madaraka?? Maji yalizidi unga tu. Hata kama una mahaba na Urusi na Iran ukweli unaujua
Tuliza jazba mkuu waarabu hawajitambui Moscow itarudi tu Syria kwani Afghanistan ilikuwaje tatizo muda tu...😅
 
Tuliza jazba mkuu waarabu hawajitambui Moscow itarudi tu Syria kwani Afghanistan ilikuwaje tatizo muda tu...😅
Moscow ikimaliza shida zake kwanza - Yes, hayo ya baadae sasa sio ya sasa, ilikua kumpa Assad hifadhi kwanza na ikishajitafuta na kujipata hatakua relevant tena! Kujifanya kwamba alikua na nia njema asiingize Syria kwnye vita ya wenyewe kwa wenyewe ni assumptions tu za huku kwa mtogole, kwa kuwa hajawahi kuwa na huruma ya namna hiyo, why leo??.

Alipoona anazidiwa alikimbilia kwa hao mabwana zake na wakamtosa then akarudi akaongeza wanajeshi mshahara nayo haikusaidia alipoona waasi wanamsogolea akasepa!
 
Shame
 
Sawa mkuu, ndiyo kuna kushoto na kulia na huwezi mpangia mtu wapi ashabikie au kusapoti. Nimekuelewa mkuu. Tuishie hapa.
 
Really, are you serious?

Hii miaka 13 iliyopita Assad alikuwa anafanya nini?

Kama hakutaka mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa nini hakuondoka Syria tangu 2011?
Hafai maswali kutoka Kwa watu wenye hekima. Umeliona jina lake kwanza? NI mzimu maana halisi Yuko na Bikra 72 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…