Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

Kwa hili la AL Assad nadhani tumepondwa na hapa luza zaidi namuona Iran 🇮🇷 ingawaje leo Ayatollah kajitutumua ila ngoja tutoe muda zaidi tuone
 
Really, are you serious?

Hii miaka 13 iliyopita Assad alikuwa anafanya nini?

Kama hakutaka mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa nini hakuondoka Syria tangu 2011?
Nilitaka kuandika hiki but mkuu umemaliza, kuongezea hi ni sawa na kuongeza chumvi
 
Iwe iweje lakini mwishowe ameamua kwa hekima pasipo umwagaji damu.
Nakuunga mkono hoja yako
Waswahili wanasema
Ukivuliwa nguo chutama.
 

Syria rebels burn tomb of Bashar al-Assad's father
https://www.bbc.com/news/articles/c1wq01wde44o
Syrian rebel fighters have destroyed the tomb of late president Hafez al-Assad, father of ousted president Bashar, in the family's hometown.

Videos verified by the BBC showed armed men chanting as they walked around the burning mausoleum in Qardaha, in the north-west of the coastal Latakia region.

The rebels led by Islamist group Hayat Tahrir al-Sham (HTS) swept across Syria in a lightning offensive that toppled the Assad dynasty's 54-year rule. Bashar al-Assad has fled to Russia where he and his family have been given asylum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…