Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad asijibu mapigo yeyote ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa Syria. Ingekua wavamizi ni wageni kutoka nje ya Syria nadhani pangechimbika.

Kila la heri nakutakia maisha mema huko Urusi.
Wanajeshi wa Syria wameamua kutopigana ili kuilinda nchi Yao dhidi ya Hila na fitina kutoka nje hii nayo ni busara ya Hali ya juu sana. Kwahiyo kwa mtazamo wangu Assad amemaliza vizuri sana kazi ipo kwa hao aliowaachia nchi Wana nafasi ama kuiingiza korongoni ama kuijenga na kuilinda nchi Yao. Assad ameshatoka maagizo kuwa nchi ikabidhiwe kwa amani kwa watakaokuja na hilo limetekelezwa.View attachment 3172708
Akili ya kitoto
 
Hakuna kitu kama hiko!
Raia wakikuchoka ujuwe basi, kimbia au ubaki UFE! Simple.
 
Yes am Seriously. Matokeo ya jeshi kupigana na waasi katika hii vita ya siku 11 kumuondoa madarakani madhara yangekua ni makubwa sana. Ni busara imetumika kuachia madaraka bila umwagaji damu.
Kama ni suala la busara na kuiepusha Syria na madhara makubwa, kwa nini Assad hakutumia busara hiyo mwaka 2011 na kuiepusha Syria na vita ya miaka 13?

Hujajibu swali hili.
 
Mbona kama unaongozwa na udini wa wale wavaa kobazi!
Hawa wavaa kobazi bana! Ni mafundi wa kupindua maneno. Ukweli ni kuwa walijichanganya kuingilia vita ya Gaza wakijifanya ni wakombozi wa Wapalestina wa Mchongo sasa Israel kawabomoa kuanzia Hezbollah, jeshi hana; Iran kapigwa ile round ya mwisho kiasi kwa airforce yake ime paralyze; Syria zana zake za kivita nyingi zimelipuriwa hivyo wakawa hawana uwezo tena wa kijeshi.
SASA TUWAULIZE HII TORAH INAYOPATA MIAKA 500 ILIKUWA INAFANYA NINI KULE KWENYE IKULU YA BASHAR AL ASAAD

View: https://x.com/khaybarjew/status/1865853012301730036
 
Anaweza kusifiwa kwa kusoma alama za nyakati kwa usahihi. Lakini si kwa “hekima”. His despotic grip on Syria was now a completely lost cause.
Yani mtu kashindwa kusoma alama za nyakati tangu 2011 halafu umsifie kwa kusoma alama za nyakati mwaka 2024 wakati nchi ishachakazwa na watu wasiohesabika washakufa na kuumizwa?
 
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad asijibu mapigo yeyote ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa Syria. Ingekua wavamizi ni wageni kutoka nje ya Syria nadhani pangechimbika.
Sio kweli kabisa Ndugu, why now na sio kipindi kile?? Au tumesahau kuwa hadi alikoswakoswa kuuwawa msikitini ili 201...? This time amechemka. Huo Ndio ukweli mchungu
 
Really, are you serious?

Hii miaka 13 iliyopita Assad alikuwa anafanya nini?

Kama hakutaka mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa nini hakuondoka Syria tangu 2011?
Hajui chochote huyu. Hajui hata kuna wakati kama sikosei Assad alitumia mabomu ya sumu kuua watu wake. Huenda ameanza kufuatilia vita hivi siku za karibuni.
 
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad asijibu mapigo yeyote ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa Syria. Ingekua wavamizi ni wageni kutoka nje ya Syria nadhani pangechimbika.

Kila la heri nakutakia maisha mema huko Urusi.
Wanajeshi wa Syria wameamua kutopigana ili kuilinda nchi Yao dhidi ya Hila na fitina kutoka nje hii nayo ni busara ya Hali ya juu sana. Kwahiyo kwa mtazamo wangu Assad amemaliza vizuri sana kazi ipo kwa hao aliowaachia nchi Wana nafasi ama kuiingiza korongoni ama kuijenga na kuilinda nchi Yao. Assad ameshatoka maagizo kuwa nchi ikabidhiwe kwa amani kwa watakaokuja na hilo limetekelezwa.View attachment 3172708
Baada ya supporters wake kulegezwa, yeye akapinduliwa, akaikimbia nchi. Waasi wameshakama makazi yake ndiyobanatoa kauli za eti kabidhini madaraka kwa amani?
Nani anayemuagiza kukabidhi madaraka wakati nchi imepinduliwa? Si aliposikia waasi wameanzisha mapigano angewaambia haina haja waende akawakabidhi nchi?
Nchi hukabidhiwa baada ya mapinduzi? Umesikia wapi?
 
Irani kashauri nini wewe bwege.. katuma midege iliyojaa silaha Israel kayatisha yakageuza yalipotokea.. wanajeshi kuongezwa mshahara vita ilipowadia ilikuwa dharau kubwa sana Assad alifanya wakagoma kufight ila uwezo ulikuwa ni mkubwa sana.. waasi ni wadhaifu tu.. kilichosaidia wimbi la kumchoka Assad kwani aligoma kuunganisha raia kwa umoja and kukumbatia Iran zaidi.. ndio maana alipokufa Nasrallah shangwe ilikuwa kubwa sana Nchini syria
 
Bro syria haitakuwa kama Libya trust me. Pale hesabu zote zishapigwa ni shia na Iran tu zile ushawishi wake hawautaki. Lakini hakuna kinachokwenda kuharibika. Pale Uturuki yupo asilimia 100 ndio injinia na hatakubali tena migrants.
Kumbuka Iran hatakiwu Syria ni devil na embassy yao imepasuliwa.. Ayatollah kwa sasa eti anaomba urafiki na watu aliowaita Magaidi hahaha
 
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad asijibu mapigo yeyote ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa Syria. Ingekua wavamizi ni wageni kutoka nje ya Syria nadhani pangechimbika.

Kila la heri nakutakia maisha mema huko Urusi.
Wanajeshi wa Syria wameamua kutopigana ili kuilinda nchi Yao dhidi ya Hila na fitina kutoka nje hii nayo ni busara ya Hali ya juu sana. Kwahiyo kwa mtazamo wangu Assad amemaliza vizuri sana kazi ipo kwa hao aliowaachia nchi Wana nafasi ama kuiingiza korongoni ama kuijenga na kuilinda nchi Yao. Assad ameshatoka maagizo kuwa nchi ikabidhiwe kwa amani kwa watakaokuja na hilo limetekelezwa.View attachment 3172708
Kama Russia Iran na Hezbollah wasingekua kwenye mapigano sidhani kama huyu bwana angekubali kuachia madaraka,kumbuka huyu ndio alisababisha watu laki 6 kuuwawa nchini kwake alikua wapi kuonyesha hizo busara kipindi hicho?
 
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad asijibu mapigo yeyote ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa Syria. Ingekua wavamizi ni wageni kutoka nje ya Syria nadhani pangechimbika.

Kila la heri nakutakia maisha mema huko Urusi.
Wanajeshi wa Syria wameamua kutopigana ili kuilinda nchi Yao dhidi ya Hila na fitina kutoka nje hii nayo ni busara ya Hali ya juu sana. Kwahiyo kwa mtazamo wangu Assad amemaliza vizuri sana kazi ipo kwa hao aliowaachia nchi Wana nafasi ama kuiingiza korongoni ama kuijenga na kuilinda nchi Yao. Assad ameshatoka maagizo kuwa nchi ikabidhiwe kwa amani kwa watakaokuja na hilo limetekelezwa.View attachment 3172708
Angejidai kuwa king’ang’anizi na kupambana angeishia kama Muammar Gaddafi.

Hii ilikuwa “special operation” ya ukweli sio ile ya Putin inayosubiri kuhitimishwa na Trump.
 
Back
Top Bottom