Tetesi: GE2025 Bashe adaiwa kusababisha vikao vya CCM kuahirishwa kisa alipanga wagombea ubunge anaotaka yeye

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Rege

Senior Member
Joined
Jul 9, 2022
Posts
126
Reaction score
168
KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya kubainika kuwa sehemu kubwa ya wagombea waliopitishwa na Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa ni Maelekezo ya Bashe na sio mahitaji ya wananchi wa majimbo husika.

Bashe anatajwa kuingilia mchakato wa uchujaji majina ngazi ya Wilaya na mikoa kuendesha kampeni kubwa ya kukata wagombea na kupanga safu ya majina ya wagombea anaowataka yeye kwa kila jimbo ili kutengeneza Bunge litakalokuwa upande wake hasa katika kuelekea mbio zake za kusaka urais mwaka 2030.

Hatua hiyo imewastua viongozi Kamati Kuu na kutaka kupata muda wa kufuatilia michakato ngazi zote za Wilaya na Mikoa na kupitia malalamiko mbalimbali yaliyowasilishwa na wanachama ili kubaini ukweli wa taarifa hizo.

Hadi sasa Mikoa ambayo inasemekana tayari Bashe amefanikiwa kuweka wagombea wake ni pamoja na Mkoa wa Kilimanjaro, Mkoa wa Shinyanga, Mkoa wa Mtwara, Mkoa wa Arusha, Mkoa wa Simiyu, Mkoa wa Mwanza, Mkoa wa Kagera, Mkoa wa Tabora, Mkoa wa Morogoro, Mkoa wa Njombe, Mkoa wa Katavi na Mkoa wa Pwani ambapo wagombea hao amewasaidia fedha nyingi za kuwawezesha kushinda.
 
KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya kubainika kuwa sehemu kubwa ya wagombea waliopitishwa na Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa ni Maelezo ya Bashe.

Bashe anatajwa kuingilia mchakato ngazi ya Wilaya na kusababisha wagombea wengi kukatwa na kupanga majina ya wagombea wake kila jimbo ili kutengeneza Bunge litakalokuwa upande wake hasa katika kuelekea mbio zake za kusaka urais mwaka 2030.

Hatua hiyo inawapa muda viongozi wa Kamati Kuu kupata muda wa kufuatilia michakato ngazi zote za Wilaya na Mikoa ili kubaini ukweli wa taarifa hizo Mikoa ambayo inasemekana tayari Bashe amefanikiwa kuweka wagombea wake ni pamoja na Mkoa wa Kilimanjaro, Mkoa wa Shinyanga, Mkoa wa Mtwara, Mkoa wa Arusha, Mkoa wa Simiyu, Mkoa wa Mwanza, Mkoa wa Kagera, Mkoa wa Tabora, Mkoa wa Morogoro, Mkoa wa Njombe, Mkoa wa Katavi na Mkoa wa Pwani.
Uongo
 
Hawa ndio wakufuta kwenye utawala nchini kwanza huyo ni msomali andoke zake.
Tukiimba NO REFORMS NO ELECTION mnaona sisi wajinga haya angalieni wageni wanatupangia
 
KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya kubainika kuwa sehemu kubwa ya wagombea waliopitishwa na Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa ni Maelezo ya Bashe.

Bashe anatajwa kuingilia mchakato ngazi ya Wilaya na kusababisha wagombea wengi kukatwa na kupanga majina ya wagombea wake kila jimbo ili kutengeneza Bunge litakalokuwa upande wake hasa katika kuelekea mbio zake za kusaka urais mwaka 2030.

Hatua hiyo inawapa muda viongozi wa Kamati Kuu kupata muda wa kufuatilia michakato ngazi zote za Wilaya na Mikoa ili kubaini ukweli wa taarifa hizo Mikoa ambayo inasemekana tayari Bashe amefanikiwa kuweka wagombea wake ni pamoja na Mkoa wa Kilimanjaro, Mkoa wa Shinyanga, Mkoa wa Mtwara, Mkoa wa Arusha, Mkoa wa Simiyu, Mkoa wa Mwanza, Mkoa wa Kagera, Mkoa wa Tabora, Mkoa wa Morogoro, Mkoa wa Njombe, Mkoa wa Katavi na Mkoa wa Pwani.
Ni zile zile strategic zone ya high export of cash crop ili asiweze kupata upinzani kama waziri wa kilimo kwafano mtwara ni korosho,Tabora ni Tumbaku, simiyu katavi Tumbaku, Morogoro miwa ili aendelee kula urefu wa kamba kwa tickets ya waziri wa kilimo! Sikufiria kama Bashe atakuwa hivi
 
Huu ni uongo 💯 percent
jambo kama hulijui kaa kimya...... nenda Igunga kaulize Jimbo la Manonga yuko Bashe ameweka mgombea gani, nenda Jimbo la Siha Kilimanjaro uliza utaambiwa mgombea wa Bashe ni nani, nenda hata Jimbo la Mpina kaulize utaambiwa mgombea wa Bashe anayetaka awe Mbunge ni nani? nenda Jimbo la Ushetu Shinyanga kaulize Bashe anataka nani awe Mbunge, nenda Jimbo la Tabora mjini uliza mgombea wa Bashe ni nani.. usipende kubisha vitu ambavyo huvijui
 
Hiki chama hakina tena nguvu ya kuishi miaka mingine 5 kuanzia sasa. Maana kitakuwa kimeparanganyika kabisa. Dalili zote ziko wazi.
1. Usaliti umekithiri
2. Ubabe umekithiri
3. Wahuni wamejimilikisha chama
4. Imani kwa wananchi imepotea
5. Policcm wamechoka kuwabeba
6. Tumeccm iko hoi bin taaban
7. CHAWA na wenyewe wanataka vyeo, badala ya kuimba mapambio!

Yaani vurugu tu mwanzo mwisho.
 
uko sahihi sasa kama Bashe ndio anapanga nani awe Mbunge na sio Wananchi wanamtaka nani?
 
Hiki chama hakina tena nguvu ya kuishi miaka mingine 5 kuanzia sasa. Maana kitakuwa kimeparanganyika kabisa. Dalili zote ziko wazi.
1. Usaliti umekithiri
2. Ubabe umekithiri
3. Wahuni wamejimilikisha chama
4. Imani kwa wananchi imepotea
5. Policcm wamechoka kuwabeba
6. Tumeccm iko hoi bin taaban
7. CHAWA na wenyewe wanataka vyeo, badala ya kuimba mapambio!

Yaani vurugu tu mwanzo mwisho.
Mungu anawaonyesha kuwa wao sii kitu,je wataelewaa?
 
KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya kubainika kuwa sehemu kubwa ya wagombea waliopitishwa na Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa ni Maelezo ya Bashe.

Bashe anatajwa kuingilia mchakato ngazi ya Wilaya na kusababisha wagombea wengi kukatwa na kupanga majina ya wagombea wake kila jimbo ili kutengeneza Bunge litakalokuwa upande wake hasa katika kuelekea mbio zake za kusaka urais mwaka 2030.

Hatua hiyo inawapa muda viongozi wa Kamati Kuu kupata muda wa kufuatilia michakato ngazi zote za Wilaya na Mikoa ili kubaini ukweli wa taarifa hizo Mikoa ambayo inasemekana tayari Bashe amefanikiwa kuweka wagombea wake ni pamoja na Mkoa wa Kilimanjaro, Mkoa wa Shinyanga, Mkoa wa Mtwara, Mkoa wa Arusha, Mkoa wa Simiyu, Mkoa wa Mwanza, Mkoa wa Kagera, Mkoa wa Tabora, Mkoa wa Morogoro, Mkoa wa Njombe, Mkoa wa Katavi na Mkoa wa Pwani.
Kigogo anawalisha ugoro.Kila sehemu yamepelekwa Majina ya kutosha Sasa mtu mmja anawezaje kupanga wagombea?
 
Back
Top Bottom