Tetesi: GE2025 Bashe adaiwa kusababisha vikao vya CCM kuahirishwa kisa alipanga wagombea ubunge anaotaka yeye

Tetesi: GE2025 Bashe adaiwa kusababisha vikao vya CCM kuahirishwa kisa alipanga wagombea ubunge anaotaka yeye

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kigogo anawalisha ugoro.Kila sehemu yamepelekwa Majina ya kutosha Sasa mtu mmja anawezaje kupanga wagombea?
Braza acha kushupaza fuvu nchi hii ni kubwa kuliko unavyodhani wewe nenda Jimbo la Manonga uliza Bashe anamfadhili nani kuwa Mbunge? nenda Jimbo la Kisesa kwa Mpina kaulize Bashe anamfadhili kuwa Mbunge? usibishe vitu ambavyo huvijui
 
Sasa hapo ndipo nakuona wewe ni punguani,Bashe akimfadhili Fulani Je wagombea wengine walinyimwa fomu? Tumia akili basi.
 
Sasa hapo ndipo nakuona wewe ni punguani,Bashe akimfadhili Fulani Je wagombea wengine walinyimwa fomu? Tumia akili basi.
Nimekwambia Nenda Jimbo la Manonga Igunga nenda Jimbo la Kisesa kwa Mpina kaulize watu watakutajia majina ya wagombea wanaofadhiliwa na BASHE ndio uje kunijibu hapa usijibu vitu ambavyo hujavifanyia tafiti
 
Nimekwambia Nenda Jimbo la Manonga Igunga nenda Jimbo la Kisesa kwa Mpina kaulize watu ndio uje kunijibu hapa usijibu vitu ambavyo hujavifanyia tafiti
Kwani wapi ambako makundi hayafadhili wagombea?

Hayo Majimbo ya kina Mpina hakuna wengine waliochukua fomu?

Je Watoa maamuzi wataangalia Bashe aliowafadhili?

Tumia akili wanaweza kukatwa hao na wakatudishwa wengine
 
Mchakato wa kuchagua wagombea urudishwe kwa wanachama na makada.
 
Kwani wapi ambako makundi hayafadhili wagombea?

Hayo Majimbo ya kina Mpina hakuna wengine waliochukua fomu?

Je Watoa maamuzi wataangalia Bashe aliowafadhili?

Tumia akili wanaweza kukatwa hao na wakatudishwa wengine
Rudisha mchakato kwa wanachama wachague watu wao wanaowataka.
 
WEWE endelea kushupaza shingo nenda pia Jimbo la Ushetu Kahama kaulize Bashe anamfadhili nani ubunge watakwambia
 
Ananguvu kiasi gani huyu kining'ina cha mtume?
 
Rudisha mchakato kwa wanachama wachague watu wao wanaowataka.
Unfortunately CCM haiko hivyo,awamu ya Mwendazake wanachama walichagua watu wao wakaktwa wote Mwendazake akaleta watu wake so ikawa ni kazi Bure.
 
Unfortunately CCM haiko hivyo,awamu ya Mwendazake wanachama walichagua watu wao wakaktwa wote Mwendazake akaleta watu wake so ikawa ni kazi Bure.
Kwa hiyo mmeamua kuendelea na mtindo wa mwendazake wa kupachika wabunge wanaotakiwa na kikundi cha watu wachache badala ya wanachama na raia walio wengi?
 
KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya kubainika kuwa sehemu kubwa ya wagombea waliopitishwa na Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa ni Maelezo ya Bashe.

Bashe anatajwa kuingilia mchakato ngazi ya Wilaya na kusababisha wagombea wengi kukatwa na kupanga majina ya wagombea wake kila jimbo ili kutengeneza Bunge litakalokuwa upande wake hasa katika kuelekea mbio zake za kusaka urais mwaka 2030.

Hatua hiyo inawapa muda viongozi wa Kamati Kuu kupata muda wa kufuatilia michakato ngazi zote za Wilaya na Mikoa ili kubaini ukweli wa taarifa hizo Mikoa ambayo inasemekana tayari Bashe amefanikiwa kuweka wagombea wake ni pamoja na Mkoa wa Kilimanjaro, Mkoa wa Shinyanga, Mkoa wa Mtwara, Mkoa wa Arusha, Mkoa wa Simiyu, Mkoa wa Mwanza, Mkoa wa Kagera, Mkoa wa Tabora, Mkoa wa Morogoro, Mkoa wa Njombe, Mkoa wa Katavi na Mkoa wa Pwani.
Urais 2030 unatafutwa kwa nguvu isiyo ya kawaida!
 
Kwa hiyo mmeamua kuendelea na mtindo wa mwendazake wa kupachika wabunge wanaotakiwa na kikundi cha watu wachache badala ya wanachama na raia walio wengi?
Ni Mtindo wa ccm miaka yote Ili kudhibiti nizamu.
 
Back
Top Bottom