Tetesi: GE2025 Bashe adaiwa kusababisha vikao vya CCM kuahirishwa kisa alipanga wagombea ubunge anaotaka yeye

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya kubainika kuwa sehemu kubwa ya wagombea waliopitishwa na Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa ni Maelezo ya Bashe.

Bashe anatajwa kuingilia mchakato ngazi ya Wilaya na kusababisha wagombea wengi kukatwa na kupanga majina ya wagombea wake kila jimbo ili kutengeneza Bunge litakalokuwa upande wake hasa katika kuelekea mbio zake za kusaka urais mwaka 2030.

Hatua hiyo inawapa muda viongozi wa Kamati Kuu kupata muda wa kufuatilia michakato ngazi zote za Wilaya na Mikoa ili kubaini ukweli wa taarifa hizo Mikoa ambayo inasemekana tayari Bashe amefanikiwa kuweka wagombea wake ni pamoja na Mkoa wa Kilimanjaro, Mkoa wa Shinyanga, Mkoa wa Mtwara, Mkoa wa Arusha, Mkoa wa Simiyu, Mkoa wa Mwanza, Mkoa wa Kagera, Mkoa wa Tabora, Mkoa wa Morogoro, Mkoa wa Njombe, Mkoa wa Katavi na Mkoa wa Pwani.
Bashe hana huo uwezo, labda ungesema wagombea udiwani katika jimbo alilopo
 
Kwani Huyo Bashe ana cheo gani huko CCM mpaka ahusike kupanga matokeo huko wilayani
anataka URAHISI 2030, anataka madili ya sukari yaendelee bila kusumbuliwa, mbolea feki ziendelee kuuuzwa bila kupigiwa kelele na wabunge na madili ya kuagiza mazao kutoka nje kuingia nchini kuua soko la wakulima wa humu nchini akosekane mbunge wa kupiga kelele
 
Bashe haina huo uwezo, labda ungesema wagombea udiwani katika jimbo alilopo
Braza kama mambo hujajui unapotezea nenda Jimbo la Manonga kaulize mgombea wa Bashe watakwambia nenda Jimbo la Kisesa kwa Mpina watakwambia mgombea wake ni nani, nenda Jimbo la Ushetu kaulize mgombea wake ni nani watakwambia
 
Nilishasema kitambo miaka mitatu nyuma..., haya ni magenge kama magenge mengine... (I continue to call for Mgombea Binafsi);

Sasa kama anataka urais si aende somalia huko hapa bongo asahau..
 
KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya kubainika kuwa sehemu kubwa ya wagombea waliopitishwa na Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa ni Maelezo ya Bashe.

Bashe anatajwa kuingilia mchakato ngazi ya Wilaya na kusababisha wagombea wengi kukatwa na kupanga majina ya wagombea wake kila jimbo ili kutengeneza Bunge litakalokuwa upande wake hasa katika kuelekea mbio zake za kusaka urais mwaka 2030.

Hatua hiyo inawapa muda viongozi wa Kamati Kuu kupata muda wa kufuatilia michakato ngazi zote za Wilaya na Mikoa ili kubaini ukweli wa taarifa hizo Mikoa ambayo inasemekana tayari Bashe amefanikiwa kuweka wagombea wake ni pamoja na Mkoa wa Kilimanjaro, Mkoa wa Shinyanga, Mkoa wa Mtwara, Mkoa wa Arusha, Mkoa wa Simiyu, Mkoa wa Mwanza, Mkoa wa Kagera, Mkoa wa Tabora, Mkoa wa Morogoro, Mkoa wa Njombe, Mkoa wa Katavi na Mkoa wa Pwani.
Msomali anapokuwa Raia zaidi ya Raia.
 
Achen kumsikiliza kigogo anatumika yule kufanya spinning ya kimama kususa nchi na kukimbilia kizimkazi
 
Back
Top Bottom