Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Eh hayupo Tanganyika?Wana spin hoja ya kimama kususa na kukimbilia kizimkazi
Eh hayupo Tanganyika?Wana spin hoja ya kimama kususa na kukimbilia kizimkazi
MiPasho hii itaanza tu kuPungua yenyewe taratibu!Mpina tulia upigwe mpini
fuatilia majimboni ukweli mambo ya mwenezi muachie mweneziAcha uongo mwenezi kashasema kuwa mpaka sasa hakuna mtia nia yeyote aliyekatwa
Uongo kutoka twitter account ya Kigogo, sikuiz anatumika kama propaganda machinery ya wahuni kupotosha ukweli halisi, Hana jipya apuuzwe.KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya kubainika kuwa sehemu kubwa ya wagombea waliopitishwa na Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa ni Maelezo ya Bashe.
Bashe anatajwa kuingilia mchakato ngazi ya Wilaya na kusababisha wagombea wengi kukatwa na kupanga majina ya wagombea wake kila jimbo ili kutengeneza Bunge litakalokuwa upande wake hasa katika kuelekea mbio zake za kusaka urais mwaka 2030.
Hatua hiyo inawapa muda viongozi wa Kamati Kuu kupata muda wa kufuatilia michakato ngazi zote za Wilaya na Mikoa ili kubaini ukweli wa taarifa hizo Mikoa ambayo inasemekana tayari Bashe amefanikiwa kuweka wagombea wake ni pamoja na Mkoa wa Kilimanjaro, Mkoa wa Shinyanga, Mkoa wa Mtwara, Mkoa wa Arusha, Mkoa wa Simiyu, Mkoa wa Mwanza, Mkoa wa Kagera, Mkoa wa Tabora, Mkoa wa Morogoro, Mkoa wa Njombe, Mkoa wa Katavi na Mkoa wa Pwani.
Braza achana na mambo ya Kigogo watu wako field nenda mwenyewe Jimbo la Manonga, Igunga kaulize mgombea wa Bashe watakwambia ni nani, nenda Jimbo la Kisesa kwa Mpina watakwambia mgombea wa Bashe ni nani anayetaka awe Mbunge, nenda Jimbo la Ushetu kaulize mgombea wake ni nani watakwambia...achana na mambo ya KigogoUongo kutoka twitter account ya Kigogo, sikuiz anatumika kama propaganda machinery ya wahuni kupotosha ukweli halisi, Hana jipya apuuzwe.
Uongoooooooooo bwanajambo kama hulijui kaa kimya...... nenda Igunga kaulize Jimbo la Manonga yuko Bashe ameweka mgombea gani, nenda Jimbo la Siha Kilimanjaro uliza utaambiwa mgombea wa Bashe ni nani, nenda hata Jimbo la Mpina kaulize utaambiwa mgombea wa Bashe anayetaka awe Mbunge ni nani? nenda Jimbo la Ushetu Shinyanga kaulize Bashe anataka nani awe Mbunge, nenda Jimbo la Tabora mjini uliza mgombea wa Bashe ni nani.. usipende kubisha vitu ambavyo huvijui
Simiyu pamba, tumbaku Tabora na sehemu ya ShinyangaNi zile zile strategic zone ya high export of cash crop ili asiweze kupata upinzani kama waziri wa kilimo kwafano mtwara ni korosho,Tabora ni Tumbaku, simiyu katavi Tumbaku, Morogoro miwa ili aendelee kula urefu wa kamba kwa tickets ya waziri wa kilimo! Sikufiria kama Bashe atakuwa hivi
Kwani yeye bashe hagombei ubunge hadi apange wagombea?? Hata yeye anaweza kukatwa pia sasa atapangaje au amekuwa mwenyekiti tuamini maneno ya Polepole?KADA wa CCM Hussein Bashe anatajwa kuwa ndiye chanzo cha kuvuruga Kikao cha Kamati Kuu kilichopangwa kufanyika leo cha kupitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo na viti maalum baada ya kubainika kuwa sehemu kubwa ya wagombea waliopitishwa na Kamati za Siasa za Wilaya na Mikoa ni Maelezo ya Bashe.
Bashe anatajwa kuingilia mchakato ngazi ya Wilaya na kusababisha wagombea wengi kukatwa na kupanga majina ya wagombea wake kila jimbo ili kutengeneza Bunge litakalokuwa upande wake hasa katika kuelekea mbio zake za kusaka urais mwaka 2030.
Hatua hiyo inawapa muda viongozi wa Kamati Kuu kupata muda wa kufuatilia michakato ngazi zote za Wilaya na Mikoa ili kubaini ukweli wa taarifa hizo Mikoa ambayo inasemekana tayari Bashe amefanikiwa kuweka wagombea wake ni pamoja na Mkoa wa Kilimanjaro, Mkoa wa Shinyanga, Mkoa wa Mtwara, Mkoa wa Arusha, Mkoa wa Simiyu, Mkoa wa Mwanza, Mkoa wa Kagera, Mkoa wa Tabora, Mkoa wa Morogoro, Mkoa wa Njombe, Mkoa wa Katavi na Mkoa wa Pwani.
Uongo! Hiyo sio sababu!jambo kama hulijui kaa kimya...... nenda Igunga kaulize Jimbo la Manonga yuko Bashe ameweka mgombea gani, nenda Jimbo la Siha Kilimanjaro uliza utaambiwa mgombea wa Bashe ni nani, nenda hata Jimbo la Mpina kaulize utaambiwa mgombea wa Bashe anayetaka awe Mbunge ni nani? nenda Jimbo la Ushetu Shinyanga kaulize Bashe anataka nani awe Mbunge, nenda Jimbo la Tabora mjini uliza mgombea wa Bashe ni nani.. usipende kubisha vitu ambavyo huvijui