fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
makonda hamuwezi bashe hata kidogoMakonda ni mtu mkubwa sana ,sidhani kam kuna mtu wa kupambana naye,bashe siku zake zinahesabika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makonda hamuwezi bashe hata kidogoMakonda ni mtu mkubwa sana ,sidhani kam kuna mtu wa kupambana naye,bashe siku zake zinahesabika
Hii ndio ajabu ya ccm...huwa haitaki watu smart wanaojitambua na wanaojua haki na wajibu wao kwa mujibu wa sheria katika nyadhifa walizopewa.Makonda ni mtu mkubwa sana ,sidhani kam kuna mtu wa kupambana naye,bashe siku zake zinahesabika
Bashe anayo akili na ni kijana makini.
Mwamvita Makamba anazidi kuwa mrembo huko South AfricaUnaijua nafasi ya Ristam Aziz hapo CCM bwashee?
Watu wazuri hawafi!Mwamvita Makamba anazidi kuwa mrembo huko South Africa
Walipewa grants ya $600ml, bashe akaanzisha BBT, November BBT 2023, ikahamishiwa wizara ya uvuvi,Ile BBT ni sanaa ya maigizo kwenye uhalisia wa kilimo cha Tanzania......sijui zimepigwa ngapi huko.
Anatobw@ na majizi Akina Rost AzizMwamvita Makamba anazidi kuwa mrembo huko South Africa
Hiyo pesa iliyopotea kwenye sanaa ya maigizo ingepelekwa kwenye ruzuku ya pembejeo kwa wakulima wenyewe orijino ingeleta tija kubwa zaidi.Walipewa grants ya $600ml, bashe akaanzisha BBT, November BBT 2023, ikahamishiwa wizara ya uvuvi,
Yan unaweza ukafa kwa presha
Zile pesa za BBT ni $600ml, itakuwa aligawana BT, na baada ya hapo bashe akaanza jeuri Kwamba naye 2030 anagombea u CEO, unaweza kudhani ni utani, lakini huo ndio uhalisiaKama ule uozo wa BBT haukumuondoa sioni kingine cha kumuondoa, aendelee kuiba tu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Tupige goti tusali aingie kwenye mtego ametusabishia matatizo makubwa akiwa Nishati!January walijaribu kumtafuta
Jitu la kwa Biden hili bwashee litawakanda, wasalimie huko kusini mzeeHakunaga wa kumshinda Ristam Aziz hapo CCM bwashee
Shujaa Magufuli mwenyewe alimkubali RA 😂
Bashe anajitambua kweli! Kama wewe unamuona huyo msomali anajitambua una matatizo sana! Kwenye BBT kafanya utapeli mtupu na hana lolote la kueleza!Hii ndio ajabu ya ccm...huwa haitaki watu smart wanaojitambua na wanaojua haki na wajibu wao kwa mujibu wa sheria katika nyadhifa walizopewa.
Tuambie ndugu uvccm.Unaijua nafasi ya Ristam Aziz hapo CCM bwashee?
Labda ukubwa wa pua na kalioMakonda ni mtu mkubwa sana ,sidhani kam kuna mtu wa kupambana naye,bashe siku zake zinahesabika
Bashe alishaweka wazi, hatanyoosha mikono juu wala hatabadili msimamo.Nakupa dokezo.
Yote yaliyotokea wiki jana na yanayoendelea huku mkuu akiwa kimya, ni kwamba anayetafutwa ni Bashe.
Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na magomvi yanayoendelea kule kwao. January walijaribu kumtafuta kwenye vikao vya kamati, ikashindikana. Mitego ni mingi, bado hajajaa sawa sawa kwenye mfumo ili azamishwe mazima.
Bado hawajakata tamaa
Hakuna kitu bashe anachofanya kisicho na go ahead toka kwa Mama Abdul. Sisi Wizarani hapa tujaua Bashe ni mtu wa Sound nampigaji tu ila kwa kuwa amemshika mama Abdul hana afanywacho. Wote ni wapigaji toka kwenye Pikipiki zilizonunuliwa kimagumashi hadi kupora mashamba kule Iringa na kuadimika kwa sukari nchini.Kama ule uozo wa BBT haukumuondoa sioni kingine cha kumuondoa, aendelee kuiba tu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
CCM huwa haitaki watu wanoajielewa...huo ndio ukweli.Bashe anajitambua kweli! Kama wewe unamuona huyo msomali anajitambua una matatizo sana! Kwenye BBT kafanya utapeli mtupu na hana lolote la kueleza!
Unamjua Rostam Aziz wewe au unamsikia? Samia siyo MagufuliNakupa dokezo.
Yote yaliyotokea wiki jana na yanayoendelea huku mkuu akiwa kimya, ni kwamba anayetafutwa ni Bashe.
Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na magomvi yanayoendelea kule kwao. January walijaribu kumtafuta kwenye vikao vya kamati, ikashindikana. Mitego ni mingi, bado hajajaa sawa sawa kwenye mfumo ili azamishwe mazima.
Bado hawajakata tamaa
Labda kama Rostam kafa.Makonda ni mtu mkubwa sana ,sidhani kam kuna mtu wa kupambana naye,bashe siku zake zinahesabika