Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Huyo mzee bado uvccm?Tuambie ndugu uvccm.
Labda kama amerithi nafasi ya Kingunge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mzee bado uvccm?Tuambie ndugu uvccm.
BASHITE KAMCHOMOA CHONGOLO na bado atawachomoa wengi hata KINANA akae CHONJONakupa dokezo.
Yote yaliyotokea wiki jana na yanayoendelea huku mkuu akiwa kimya, ni kwamba anayetafutwa ni Bashe.
Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na magomvi yanayoendelea kule kwao. January walijaribu kumtafuta kwenye vikao vya kamati, ikashindikana. Mitego ni mingi, bado hajajaa sawa sawa kwenye mfumo ili azamishwe mazima.
Bado hawajakata tamaa
Kwao huyo kijana na uchaguzi ujao anataka kiti😃Huyo mzee bado uvccm?
Labda kama amerithi nafasi ya Kingunge.
Mbolea kwa ssa ni bidhaaa adhimu sana kupatikanaHakuna kitu bashe anachofanya kisicho na go ahead toka kwa Mama Abdul. Sisi Wizarani hapa tujaua Bashe ni mtu wa Sound nampigaji tu ila kwa kuwa amemshika mama Abdul hana afanywacho. Wote ni wapigaji toka kwenye Pikipiki zilizonunuliwa kimagumashi hadi kupora mashamba kule Iringa na kuadimika kwa sukari nchini.
MkwawaAnakula pekee zile pesa za Vibali vya kusafirisha Mazao nje ya Nchi? Na kale kakampuni make katumbaku sanakaita kawazawa. Hii nchi imeoza Sana hakuna mwenye nafuu huko sisiemuni
Sana kwa ssa mawakala wanalia na makampuniHiyo pesa iliyopotea kwenye sanaa ya maigizo ingepelekwa kwenye ruzuku ya pembejeo kwa wakulima wenyewe orijino ingeleta tija kubwa zaidi.
One Acre Fund mpaka wakanifukuza kazi yangu ya Temple maana hawajalipwa na sasa mbolea hamna.Sana kwa ssa mawakala wanalia na makampuni
Hilo chama lenu mnaliweza wenyewe majiziNakupa dokezo.
Yote yaliyotokea wiki jana na yanayoendelea huku mkuu akiwa kimya, ni kwamba anayetafutwa ni Bashe.
Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na magomvi yanayoendelea kule kwao. January walijaribu kumtafuta kwenye vikao vya kamati, ikashindikana. Mitego ni mingi, bado hajajaa sawa sawa kwenye mfumo ili azamishwe mazima.
Bado hawajakata tamaa
NCHIMBI na Bashe wametoka wote Mzumbe!! Mnajua Hilo?Migogoro hutengenezwa Kwa maksudi kabisa ili kuwaangamiza kisiasa walengwa hata kimaisha pia!
Nchimbi+makonda aiseh combination hatari sana!
Nipo nasubiri nione!!
Kwa hiyo rostam ni mwenyekiti wa CCM mpaka kifo kimtenganisheLabda kama Rostam kafa.
lile bifu asee hatari!Hakunaga wa kumshinda Ristam Aziz hapo CCM bwashee
Shujaa Magufuli mwenyewe alimkubali RA 😂
Ndiye anayeendesha nchi mamlaka yote yapo kwake.Kwa hiyo rostam ni mwenyekiti wa CCM mpaka kifo kimtenganishe
Keptein mstaafu,mkuu wa mkoa wa Dar mstaafu na Katibu mkuu mstaafu wa chama Cha siasa.😀Watu wazuri hawafi!
Vita inayokuja ni mbaya sana, kama maigizo ila yanakuja mambo,, kuna wenye pesa na kuna wenye mababu zao.....kwa bashe hawatamuweza,ni mtu makini sana,na ana uwezo mkubwa sana kujieleza na on top of that Godfather ni mtu powerful
Tuna taka Bashe asimme aseme kwenye vitu hivu viNCHIMBI na Bashe wametoka wote Mzumbe!! Mnajua Hilo?
Samia akilogwa kumgusa Bashe kwasababu ya huyo mtu wake ajue amekwisha!
Akumbuke tu jinsi uteuzi wa Makonda ulivyopingwa kwenye vikao yeye kwa makusudi akalazimisha!
kale kakampuni kakifala sana, kalishindwa walipa wakulima msimu jana jamaa akaingilia kati mwaka huu ilikuwa ni marufuku kwa wakulima wa tumbaku kuchagua kampuni maana wangekatosa woteAnakula pekee zile pesa za Vibali vya kusafirisha Mazao nje ya Nchi? Na kale kakampuni make katumbaku sanakaita kawazawa. Hii nchi imeoza Sana hakuna mwenye nafuu huko sisiemuni
Hata mkuu wa majeshi alirusha mtego wa Bashe hadharani kwa kusema kuwa kuna wakimbizi wameteuliwa kushika ngazi za maamuzi......alikuwa anatafutwa. Bashe hapa.Makonda hatoi matamko dhidi ya Bashe kwa bahati mbaya. Kuna ligi ya siasa na magomvi yanayoendelea kule kwao. January walijaribu kumtafuta kwenye vikao vya kamati, ikashindikana.