Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Bashe ana akili kubwa kuliko mkuu wa majeshi.Hata mkuu wa majeshi alirusha mtego wa Bashe hadharani kwa kusema kuwa kuna wakimbizi wameteuliwa kushika ngazi za maamuzi......alikuwa anatafutwa. Bashe hapa.
Bahati mbaya Bashe ana akili kubwa kuliko Makonda na mkuu wa majeshi. Ndiyo maana kumnasa Bashe kwa mitego inayotegwa na akili ndogo kama uduvi za Makonda inakuwa ngumu .
The crown does not change the mind.Yaani Bashe ana akili kubwa kuliko mkuu wa majeshi.
Hii kwangu mpya.
Magufuli alikuwa na nia ya kukifanya chama kisiwategemee wafanya biashara katika kukiendesha kwani uhusiano wao ndio chanzo cha ufisadi! Kwa hili alifanikiwa mpaka hata kuhakiki mali za ccm!Kwa hiyo rostam ni mwenyekiti wa CCM mpaka kifo kimtenganishe
Mimi nilidhani wakimsema Serukamba ambaye Samia kampa u RC!!Hata mkuu wa majeshi alirusha mtego wa Bashe hadharani kwa kusema kuwa kuna wakimbizi wameteuliwa kushika ngazi za maamuzi......alikuwa anatafutwa. Bashe hapa.
Bahati mbaya Bashe ana akili kubwa kuliko Makonda na mkuu wa majeshi. Ndiyo maana kumnasa Bashe kwa mitego inayotegwa na akili ndogo kama uduvi za Makonda inakuwa ngumu .
Mwaka hule bashe anakaangwa na riz, rostam alikuwepo na hakufanya kitu.Unaijua nafasi ya Ristam Aziz hapo CCM bwashee?
Godfather mwenyewe alitema bung'o itakuwa yeye ?kwa bashe hawatamuweza,ni mtu makini sana,na ana uwezo mkubwa sana kujieleza na on top of that Godfather ni mtu powerful
Unaishi kwa kukariri!Mwaka hule bashe anakaangwa na riz, rostam alikuwepo na hakufanya kitu.
Mbona 2015 alishindwa kumuingiza edo ikulu!!?Hakunaga wa kumshinda Ristam Aziz hapo CCM bwashee
Shujaa Magufuli mwenyewe alimkubali RA 😂
Kwani sasa yuko nani?🐼Mbona 2015 alishindwa kumuingiza edo ikulu!!?
Game Changer !!Unaijua nafasi ya Ristam Aziz hapo CCM bwashee?
Ngoja tuone !makonda hamuwezi bashe hata kidogo
Ngoja Tusubiri tuone 😅🙏🙏NCHIMBI na Bashe wametoka wote Mzumbe!! Mnajua Hilo?
Samia akilogwa kumgusa Bashe kwasababu ya huyo mtu wake ajue amekwisha!
Akumbuke tu jinsi uteuzi wa Makonda ulivyopingwa kwenye vikao yeye kwa makusudi akalazimisha!
Humo ndivyo walivyo ni kutafutana tu !Siasa za fitina, fitina. fitina tu ndio zinatawala na wala siyo siasa zenye hoja za kutatua matatizo. Hivi kweli tutafika ?