Bashe anatafutwa ajae kwenye mfumo, sijui kama atafika Pasaka

Anakula pekee zile pesa za Vibali vya kusafirisha Mazao nje ya Nchi? Na kale kakampuni make katumbaku sanakaita kawazawa. Hii nchi imeoza Sana hakuna mwenye nafuu huko sisiemuni
 
Hii ndio ajabu ya ccm...huwa haitaki watu smart wanaojitambua na wanaojua haki na wajibu wao kwa mujibu wa sheria katika nyadhifa walizopewa.
Bashe anajitambua kweli! Kama wewe unamuona huyo msomali anajitambua una matatizo sana! Kwenye BBT kafanya utapeli mtupu na hana lolote la kueleza!
 
Bashe alishaweka wazi, hatanyoosha mikono juu wala hatabadili msimamo.

Yuko tayari kwa lolote..
Yaani hatamwabudu Hangaya isipokuwa Allah peke
 
Kama ule uozo wa BBT haukumuondoa sioni kingine cha kumuondoa, aendelee kuiba tu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu bashe anachofanya kisicho na go ahead toka kwa Mama Abdul. Sisi Wizarani hapa tujaua Bashe ni mtu wa Sound nampigaji tu ila kwa kuwa amemshika mama Abdul hana afanywacho. Wote ni wapigaji toka kwenye Pikipiki zilizonunuliwa kimagumashi hadi kupora mashamba kule Iringa na kuadimika kwa sukari nchini.
 
Bashe anajitambua kweli! Kama wewe unamuona huyo msomali anajitambua una matatizo sana! Kwenye BBT kafanya utapeli mtupu na hana lolote la kueleza!
CCM huwa haitaki watu wanoajielewa...huo ndio ukweli.
Hayo mengine ni ya kwako!
 
Unamjua Rostam Aziz wewe au unamsikia? Samia siyo Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…