Bashe anatafutwa ajae kwenye mfumo, sijui kama atafika Pasaka

Inaonekana yuko makini kwa kutegua mitego, ila watamnasa tu maana kishaanza ligi.... 🤣 🤣 🤣
 
Kwahiyo Bashite anawawinda Wasomali?
Hivi kinana yupo au uzee, au makovu ya jbe yalimtikisa ubongo kaona miaka hii awepo wepo tu maana hawez jua kesho nani atakuwa madarakani
 
Hivi kinana yupo au uzee, au makovu ya jbe yalimtikisa ubongo kaona miaka hii awepo wepo tu maana hawez jua kesho nani atakuwa madarakani
Huyo Mzee amekwepa Mishale mingi sana ya Wahutu na bado anadunda tu😆

Huyu Mwenezi atamuweza kweli?
 
Uyu jamaa ana piga pesa sana kupitia project ya BBT ana uza sura kuonyesha iko sawa ila ni failed project

vijana wana taka kumkimbia mashambani baada ya kuona wana tumika kisiasa while pesa zina ishia juu juu huku waki tumia nguvu kubwa..
 
Unaijua nafasi ya Ristam Aziz hapo CCM bwashee?
Dogo Ni mgeni Tanzania.
Eti wanamtafuta January, unamjua Makamba/Kikwete/Kinana kwamba ndio wenye chama Chao. Hata huyo makonda akijisahau hii ziara haimalizi.
 
Bashe Lazima Aimeze Ndoano Isiyo Na Chambo Hapo Atajua Mfumo Hauangalii Sura
 
January walijaribu kumtafuta kwenye vikao vya kamati, ikashindikana. Mitego ni mingi, bado hajajaa sawa sawa kwenye mfumo ili azamishwe mazima.

Bado hawajakata tamaa[emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…