Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

ungekuwa una standard zako wala unsingedhihirisha chuki yako kwa mtu aliyevaa kusitiri uchi wake kwa vazi la heshima.....ulitaka avae pensi!?😅
Tupe kwa mfano, Waziri anayevaa kama Bashe katika shughuli za kiserikali zilizo nyeti.
Ni kutudharau watanzania.
 
hawezi jibu...nimeshamuuliza suali lenye kufanana na hilo kabaki kuruka ruka tu....😅
Wakati mwingine kuwajibu ninyi mlio na boga lililobebwa na shingo zenu ni mtihani.
Chagua vazi la waziri Bashe hapo kwenye Govrnment Statement juu ya Dress Code.
Mnakuwa obstinate na wabishi mradi tu mna midomo ya kusemea.

View attachment 3320033
na kwenu ukute wanajivunia kuwa na wewe....sasa hapo kisa kanzu haina picha ama niaje!? umesoma maelekezo!? umeyaelewa!?😅🤣
 
Kwa Tanzania waislamu NI Asilima 35% - 40% tuu, wakristo NI wengi sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…