bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
una hakika? hata bungeni wanaruhusiwa kuvaa siku za ijumaa, lakini kuna code yake ya uvaaji.Sawa linavaliwa popote na yeyote lakini siyo vazi linalotumika kwenye ofisi za umma. Dress code ya mtumishi wa umma kanzu haimo.
Sasa waliogopa nini kuhesabiwa kwa kidini wakati wa sensa? Tena kanisa lilitumia nguvu nyingi kweli kupinga wakati waislam woote waliridhika?Kwa Tanzania waislamu NI Asilima 35% - 40% tuu, wakristo NI wengi sana mkuu
Mnalazimisha haliuna hakika? hata bungeni wanaruhusiwa kuvaa siku za ijumaa, lakini kuna code yake ya uvaaji.
Bashe sio wangu...ni mbunge na ni waziri katika serikali halali ya TZ....unataka kusemaje!?Jibu hilo tamko la Serikali na Bashe wako mzee!
Zigo lako hilo, sheikh!Bashe sio wangu...ni mbunge na ni waziri katika serikali halali ya TZ....unataka kusemaje!?
Taja MIKOA yenye waislamu wengi namimi nitaje MIKOA yenye wakristo wengi, kama waislamu Weng hujaishia PWANI na mikoa mingine michacheSasa waliogopa nini kuhesabiwa kwa kidini wakati wa sensa? Tena kanisa lilitumia nguvu nyingi kweli kupinga wakati waislam woote waliridhika?
Kama kweli muwengi basi sensa ijayo fanyeni kampeni tuhesabiwe kidini, na mkipinga mjuwe muwachache
utakubali tu hata kimomoyo....hutaki teua waziri waziri wako😁Zigo lako hilo, sheikh!
Mkuu vumilia tu upate ukweli.Ki ungwana jf naomba ondoa andiko hili ,siku zimeenda lipo tu, mbona mengine hutoweka?
Sawa mkuuMkuu vumilia tu upate ukweli.
Angalia views, mada imeraise interest ya wananchi!
Stay posted.
Kuna watu wanajiondoa ufahamu kwa ushabiki wa kidini.Vazi lile haliendani na matamko ya kiserikali ndio maana rais wa Zimbabwe alipotangaza amekutana na ujumbe toka jamhuri ya kiislamu ya Tanzania wengi hawakuelewa.
so what, kwani nani alisema lazima mtu avae suruali na shati?Mnalazimisha hali
Bashe hana umuhimu wowote, hata akienda uchi sawa tu.so what, kwani nani alisema lazima mtu avae suruali na shati?
Hata wewe huna umuhimu wowote kwa hivo ngoma drooBashe hana umuhimu wowote, hata akienda uchi sawa tu.