Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
-
- #41
Sasa hivi nasikia Mambo ya Nje ndio wameanza majadiliano.Bashe ametoa msimamo wake kama waziri wa kilimo kwa staili inayoonyesha kuwa na mamlaka na kujiamini kwa tamko linalogusa maisha ya watu wa nchi ambazo mojawapo inaitegemea Tanzania katika uhai wake. Nina wasi wasi na tamko hili kama kweli ndio msimamo wa Serikali.
Malawi hawajatoa tamko zaidi ya lile la awali lakini naamini ndani ya masaa au siku zijazo watajibu na majibu yake naamini hayatakuwa na mwelekeo mwema.
Vipi Malawi wakitujibu kwa kuzuia shughuli za uvuvi katika ziwa lao tunaloliita Nyasa wakati wao wanalitambua kama Ziwa Malawi?
Vipi kama watapiga marufuku kwa uwepo wa vyombo vyetu vya usafiri katika ziwa lao tutafanya nini? Tujikumbushe kwamba Tanzania hatuna haki ya ziwa Nyasa maana mpaka wetu unaishia pwani ya mashariki ya ziwa, kutoka hapo hadi pwani ya magharibi ya ziwa ni eneo halali la Malawi hadi siku ya leo.
Bashe haoni kuwa kwa matamko ya kibabe hivi yanaweza kutuiingiza kwenye mgogoro kama ule uliozua vita kati yetu na Uganda, chanzo kikiwa ni Idd Amin Dadah kuvamia eneo la kaskazini ya mto Kagera na kuliteka? Bashe anafahamu kuwa mgogoro ulioamuliwa na vita vya Kagera ulianza kimchezo mchezo hivi kwa matamko ya kishabiki? Kama suala bado linashughulikiwa kidiplomasia na wizara ya mambo ya nje, kwa nini Bashe asisubiri matokeo ya mazungumzo kwanza badala ya kuharakisha kutoa tangazo la vita?
lubega halijapitishwa mkuu, ila vazi alilovaa bashe kwa nchii hii halina shida kabisa,,, japo bungeni nadhani lile koti aliloweka nyuma ya kitu alitakiwa awe amelivaa -- kumbukumbu yangu inasema hivyoLeo hii, hata mmasai akiingia na lubega ofisini atakuwa ameikosea dress code ya nchi.
Mbona nyie munavaaga rozali na wenzenu huwa hawalalamiki?View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Usifanganye umma.Ila angevaa msalaba ingekuwa poa tu,
Hilo ni vazi tu acheni uwoga
Magari ya serikali yamejaa misalaba ndani, ofisi za serikali zimejaa misalaba ndani ila muislam akitenga tu nafasi amsujudie mola wake maneno kama yote
Ila leo mumepituka, yaani mnaogopa mpaka kanzu?
Waislam ni 75% tanzania
Tunaenda kwa awamu, wazanzibar hii vazi ni rasmi popote.Kama huna habari, serikali ina dress code.
Rozali siyo vazi, au kuna rozali inalingana kama kanzu?Mbona nyie munavaaga rozali na wenzenu huwa hawalalamiki?
Kanzu ni vazi Rasmi kama vazi lingine lolote lile!View attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Si unajua kilichompata?Acheni chuki mbona Rais Magufuli alikuwa anatoa hutuba kanisani?
Nope!Kanzu ni vazi Rasmi kama vazi lingine lolote lile!
Wewe mlevi Jidula ni mwanaccm mwenzako. Punguza ulevi wa mchanaChadema kwa udini 😁
Jikite kwenye mada, ndio maana mnafeli shuleni.Rozali siyo vazi, au kuna rozali inalingana kama kanzu?
Watanzania si wadini.....Naona udini tz unaanza mdogo mdogo tena kwa uhakika.
Hilo siyo vazi la kiislamu,namfahamu mzee mmoja wa Kihaya anaingia Kanisani amevaa kanzu huku hahusiki chochote na mambo ya Kanisa ni muumini kama walivyo waumini wengine.Usikereke kwa vazi la Kiislamu, hivi ndivyo Masiha alivyokuwa anavaa na Wanawake kina Bikira Maria walivaa hijab na nikab!.
Wazungu ndio walibadili hizi nguo zinazovaliwa sasa, ili zisionekane ni za Kiislamu. Yesu amekulia Misri!.
P
Hatari sana mkuuWatanzania si wadini.....
Ni wajinga wachache tu mkuu...
#JMT kwanza
Tuithamini ardhi yetu tukufu ya JMT !Hatari sana mkuu
Awesome...Hilo siyo vazi la kiislamu,namfahamu mzee mmoja wa Kihaya anaingia Kanisani amevaa kanzu huku hahusiki chochote na mambo ya Kanisa ni muumini kama walivyo waumini wengine.
Kinanisikitisha mimi ni mtanzania kuzungumza habari za mavazi ya dini fulani yasionekane kwenye media viongozi wakizungumza,Tanzania ya Leo uhuru zaidi ya 60 years tunajadili kitu kama “KANZU”?tumefeli vibaya sana.