Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
labda kusiwe na uchaguziSiku nikifa mazishi yangu yasiongozwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda kusiwe na uchaguziSiku nikifa mazishi yangu yasiongozwe
Soon nitaandika wosia kuwa ccm wote wasikaribielabda kusiwe na uchaguzi
Ni kwasababu ni kipindi hiki cha kampeni, huoni hata mwl mkuu jiwe kaamuru atolewe mahabusu kabla hata watoto wenyewe hawajazikwa???Kwenye katiba ya Tanzania kaandikwa ibara gani ? acheni siasa za kishamba nyie wanafiki .
Ana cheo gani serikaliniKatibu Mkuu Wa CCM unafikiri ni sawa na huyo wenu?
Akijibu nistue mkuuAna cheo gani serikalini
Bashiru ni mpumbavu. Hakuna lugha inayomfaa zaidi ya hii. He is a misguided missile. Hatari kwa ccm na taifa.ITV imemuonyesha Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ally akitajwa kuwa mgeni rasmi kwenye mazishi ya watoto 10 waliozikwa leo huko Kagera, sina shida na mtu yoyote kuhudhuria mazishi yoyote popote lakini kumpa cheo cha kuongoza mazishi mtu asiye na cheo chochote kwenye Serikali yetu ni dharau kubwa sana kwa wananchi na marehemu wao.
Kuleta kampeni za kishamba kwenye misiba isiyo ya kisiasa haikubaliki na hali hii ikiachwa iko siku itakuja kuleta machafuko kwenye misiba na kuharibu shughuli za watu, fanyeni siasa zenu majukwaani.
Napinga CCM chama kilichokongoroka kujaribu kutumia majanga kujinadi, marehemu hao ambao walikuwa watoto hawakuwahi kuwa na kadi za CCM, za chipukizi wala za UVCCM, hii haikubaliki hata kidogo.
Kwani lazima awe serikalini?Ana cheo gani serikalini
Ni sawa na gwajima agombee ubungeSecretary General akagombee ubunge!?.. nisawa na Majaliwa au Pinda wakagombea udiwani.