Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wewe umeweka hiyo post ukitegemea watu waichambue negatively kwa sababu we ni xhawa na humpendi Dr Bashiru, watu kwa kulijua hilo wamekupotezea.Mh....Watu mnapita na ku like post ila hamchangii?
Kuwa seriously boss.lakini alihusika kuharibu uchaguzi 2020 period.
Hana alichopoteza. Subiri utajionea.Changamoto yake ni moja tu, hivi sasa akubaliki na wahafidhina ndani ya chama, kosa lake linaoneka linatokana na zoezi alilolisimamia kwa uadilifu mkubwa wa kuhakiki mali za chama tawala. Ukweli wake umemponza, uongo na unafiki wake ungalimuokoa.
niko serious sana. au upewe clip za maneno yake ndo uamini?Kuwa seriously boss.
Chawa hawa ni wa hovyo sana, walishindwa kumkemea mchovya asali mzee asiye na busara Makamba alivyokejeli vifo vya waliotangulia mbele za haki lakini kwa Bashiru wanakuja mbio mbio kila mmoja akijipendekeza kama amnamsemea mkuu sijui sielewi mkuu kama yeye anashindwa kujibu hoja za msingi akiwategemea chawa/kunguni wanyonya asali.Mkitanguliza mbele masilahi mapana ya Raia, sidhan kama mnaweza kuitisha waandishi wa habari na vihoja uchwara kumjibu Bashiru.
Ni Kwamba Bashiru ni Kiongozi, Udaktari wake ni wa uhakika , Kichwa chake kakijaza mema, busara na Hekima kiasi kwamba anachowaza ni WANANCHI TU.
Maajabu Kuna Chawa ,shule ndogo, akili kiduchu wenye utupu kichwan, kwakua tu ni machawa , basi yanalazimika kusema neno ili Matumbo yao yashibe .
Tatizo lipo linaanzia hapo alipokopwa na mfumo na bahati mbaya mkasahau utendaji wake mkamuingiza kwenye kapu moja na wasiofaa.Huyu mtu ana asili na uzoefu katika masuala ya taaluma, lkn pia ni mtu aliyekopwa kwa ajili ya sababu za kiutendaji za kisiasa. "Analysis" yake inaaminika na pia yenye mantiki, kwa mazingira na muktadha wa kijamii na kiuchumi tunayoyapitia kama taifa.
Baniani mbaya, ila kiatu chake ni dawa. Huyu ni mtu mwenye uaminifu wa milengo ya siasa za kijamaa, ila ni mtu mwenye msimamo wa kile alichoaminishwa na kukiamini.
Nasikia anajipanga ili 2025 agombee uraisi kupitia ACT wazalendo.Mkitanguliza mbele masilahi mapana ya Raia, sidhan kama mnaweza kuitisha waandishi wa habari na vihoja uchwara kumjibu Bashiru.
Ni Kwamba Bashiru ni Kiongozi, Udaktari wake ni wa uhakika , Kichwa chake kakijaza mema, busara na Hekima kiasi kwamba anachowaza ni WANANCHI TU.
Maajabu Kuna Chawa ,shule ndogo, akili kiduchu wenye utupu kichwan, kwakua tu ni machawa , basi yanalazimika kusema neno ili Matumbo yao yashibe .