Na bado heshima itashuka mpaka akili ziwafikie kwenye hivyo vichwa vyenu , ni ajabu nchi kama Tanzania ardhi iliyopo hii kubwa na vyanzo vya maji nchi inalia njaa ,huu ni ukosefu wa akili kwa serikali na wananchi wake pia .
Mnanunua magari na pikipiki na kufanya upuuz mwingine badala ya kuunganisha mitaji kwa kutengeneza crowd funds za kununua ardhi ,kujenga mabwawa ya mifumo ya umwagiliaji ,mitambo na pembejeo na kuzalisha mazao kwenye kilimo halafu mnalia njaa ,mkitegemea mkulima wa miaka 65 wa jembe la mkono aliyeko mpanda ,Songwe na Ruvuma alime awalishe nyie wapumbavu kwa kuuza kwa hasara ,huu ni usennge na ndio chanzo cha sekta ya kilimo kudumaa nchi hii. Kila siku watu mnalalamika kwamba kilimo hakilipi watu wanaingiza mitaji inaunga + huu uncertainty nyingi kama ukame ,bei kubwa ya pembejeo .Halafu kitu linaropoka nyenyenyeeeee nyenyeeeee
Narudia , kama unaona ni rahisi kulima na unataka mkulima akuuzie chakula kwa bei za kipumbavu kalime chakula chako ununue kwa hizo bei zako za kipuuz
Nchi ambazo ni jangwa kama AUSTRALIA zinalima na kuzalisha chakula na mifugo cha kulisha dunia nzima ,kwanza nafaka kama mahindi ni chakula cha ng'ombe ,kuku na nguruwe huko , Tanzania na ardhi kubwa yenye rutuba na vyanzo vya maji inashindwa hata kuzalisha chakula cha kujitosheleza , huu ni udumavu wa akili
Ukomunist wa Nyerere ilikuwa ni laana kwa hili taifa , majitu yamedumaa kiakili na kifikra