Bashiru Ally: Heshima ya nchi yetu imeshuka, tunadhalilika kwa njaa

Bashiru Ally: Heshima ya nchi yetu imeshuka, tunadhalilika kwa njaa

Unavyoshadadia swala la kununuliwa watu bila shaka ww ni mtupu kichwani .unaamini binadamu mwenye akili timamu anaweza kununuliwa ?
Anamtegemea mtu aliekubal kununuliwa ndo amsaidie kutatua kero. Mtu akikubali kununuliwa huyo hafai
 
Asante!!

Tumeshajua wakulima wanauza nje sabab ya bei kubwa ni jukumu la serikali kutoa bei elekez itakayomfaidisha mkulima mpka mnunuz.Bei iwe inamshawish mkulima kuuza mazao ndan. Ukisema usifunge mipak faham ata tukizalisha tons of milion wakulima watakimbilia nje kuuza mazao yao mpka demand ya nje ifike neutral ndo wataanza kulifikiria soko la ndani. Kufikia demand ya nje sio kaz rahis itachukua mda huku wananchi wakiteseka kweny nchi yao.

Ifanyike research serikali ifaham demand ya ndan kisha itoe bei yenye maslah kwa wote, ile surplus ndo itoke nje
Kuwekeana bei elekezi kwenye kitu kama mazao ni ngumu, very cumbersome

Na hayo masoko ya nje sio kuwa ni makubwa kihivyo sababu na wao wanavuna, masoko ya nje kila mwaka yapo ila hayasababishi nafaka kupanda nchini

, hata kama masoko ya nje yangefungwa kabisa bado mahindi na mchele vingeoanda kwa kiasi kikubwa mwaka huu sababu mavuno yalikua kiduchu
 
Hiki kitu kinaitwa stagflation.

Yani oesa hakuna, na bei zinapanda vilevile. Kwetu Hmhaya ni matokeo ya uchumi kutegemea imports sana.

Shukrani kwa hiyo article. Kumbe nilikuwa sahihi kuuliza hivyo, inaonyesha hadi wachumi hilo swala hawalitegemi kutokea ila bado linawaumiza kichwa kulitatua pale likitokea.

Kwa Tanzania ni tatizo sugu maana nimejiuliza hili swali kwa muda mrefu kwa hiyo najua limekuwa linatokea mara kwa mara. Kuna vitu ningeweza kuvi qoute kwenye article ila ngoja nikitulia nitaisoma zaidi. Nadhani bad economic policies au kuwa na policies zisizoshabihiana au zinazopingana inaweza kuwa inachangia.
 
Kila mtu yupo. Wakati bado
Hapana. Kama ni wakati wa kuonyesha uwezo wa uongozi wakati huu ndio sahihi kabisa.
Huoni sasa Samia anavyojitoa waziwazi; na kule kupuliza baada ya kung'ata kunakoma?
 
Chakula ni basic bidhaa mkuu!!
Mara ya mwisho hii hali kutokea nafikiri miaka 2 labda imepita, hadi vifaa vya ujenzi vilikuwa vinapanda bei ila wakati huo huo watu wakawa wanalalamika hakuna pesa mtaani. Hii combination ndiyo najaribu kuielewa.
 
Wabongo wengi ni watu wanaodanganyika kirahisi sana mkuu

Yani sasa hivi wengine washamuona Bashiru bonge la mkombozi.

Wamesahau ujinga wote aliofanya na Magufuli, au pengine hawajasahau, wanaona ni sawa.
Ikumbukwe pia na Samia alikuwemo kwenye hiyo hiyo timu ya Magufuli na Bashiru!!!
 
Mh....Watu mnapita na ku like post ila hamchangii?

Okay mi mchango wangu ni, vyakula kupanda bei ni kutokana na ukame wa mwaka jana.

Japo serikali ilihifadhi chakula kingi kwenye maghala hadi maximum yake ya tani laki 2 bado chakula hicho hakikutosha

Swala hili halina suluhu ya muda mfupi, suluhu ya uhakika ni kutengeneza mifumo ya kilimo cha umwagiliaji ambayo itachukua muda na gharama

Ama kama tuagize mahindi ya bei rahisi kutoka Brazil na Argentina? Tukifanya hivyo jua wakulima wetu mahindi yao hayatauzika
Kwa nini Argentina na Brazil ndio wawe na mahindi ya bei nafuu na sisi tusiwe nayo, tuanzie hapo kwanza.

Ndio maana tunasema nchi kukaa na kutawaliwa na chama kile kile kwa zaidi ya miaka 60 na eti mkibaki kukimbizana na mwenge lazima mtakuwa na shida tu.

Hamuwezi kupata mawazo mbadala kwa kuwa na sera tofauti zinazoweza kuleta mabadiliko katika sekta nyeti kama kilimo.

Bado tunalima kama Daudi na Solomon walivyokuwa wakilima enzi hizo badala ya kuleta sera ambayo wenye viwanda vya kusindika mazao ndio wakodishiwe mashamba na watu ili walime wao kitaalam na baada ya kuvuna wenye mashamba walipwe thamani ya mazao waliyonunua ndipo waende kusindika.

Hii sera ya kuacha eti kila mwenye ardhi ajilimie ni ya hovyo na njaa haiwezi kwisha kwa sababu watu ambao hawana elimu ya kilimo eti ndio wakulima. Bure kabisa.
 
Kuwekeana bei elekezi kwenye kitu kama mazao ni ngumu, very cumbersome

Na hayo masoko ya nje sio kuwa ni makubwa kihivyo sababu na wao wanavuna, masoko ya nje kila mwaka yapo ila hayasababishi nafaka kupanda nchini

, hata kama masoko ya nje yangefungwa kabisa bado mahindi na mchele vingeoanda kwa kiasi kikubwa mwaka huu sababu mavuno yalikua kiduchu
Kaka kuna watu wanafany hii biashara nmeongea nao mara kadhaa wanasema nje bei ni nzur kuliko ndan na demand ni kubwa nje, wateja kutoka nje husababisha bei kupanda wao wakitajiwa 2800 tsh per kilo ya mchele wanatoa hii inapelekea ili mfanyabiashara wa ndan apate mchele lazima ashindane na hio bei. Soko la nje linaathir sana.

Ni lazima kuwe na sera sahih kweny hili swala zaid watu watateseka.Bei iwe elekezi, kiwango cha kutoka nje kiwe ni ile ziada.

Ashibe kwanza wa nyumban ndi akashibe wa nje. Huyu wa nyumban ndo anahudika 100% kweny maendeleo ya nchi. Tusipokuwa makini tutaua soko la ndan kwa danganya toto ya soko la nje
 
Unavyoshadadia swala la kununuliwa watu bila shaka ww ni mtupu kichwani .unaamini binadamu mwenye akili timamu anaweza kununuliwa ?
Akili ni nini? Timamu unaipimaje? Na watu wote wanayo hiyo akili timamu?
 
Ungeongelea jinsi Bashir na magufuli walivosababisha njaa ingefana sana. Naomba unambie nin Bashir na magufuli walifany mpka kikasababisha hili janga?

Ultimately, nchi ikiwa na njaa na huyu Mgufuli rais, na huyu mwingine Bashiru ni katibu mkuu wa chama, wao ndio wako responsible na njaa hiyo.

Magufuli kashindwa kuanzisha miradi ya ukulima iliyojikita kwenye kuhakikisha food security, hilo ni kosa la kimfumo na kiuongozi.

Matokeo yake nchi kubwa ardhi bwerere, wananchi wanalia njaa.

Huyu Magufuli aliiangusha mapato ya Tanzania kwa kuingilia biashara ya korosho, umeshasahau?

Halafu hawahawa viongozi waliotufikisha hapa, wakitoka kwenye uongozi wanapiga kelele sana.

Hujaona hilo jambo la wazi kabisa?
 
Shukrani kwa hiyo article. Kumbe nilikuwa sahihi kuuliza hivyo, inaonyesha hadi wachumi hilo swala hawalitegemi kutokea ila bado linawaumiza kichwa kulitatua pale likitokea.

Kwa Tanzania ni tatizo sugu maana nimejiuliza hili swali kwa muda mrefu kwa hiyo najua limekuwa linatokea mara kwa mara. Kuna vitu ningeweza kuvi qoute kwenye article ila ngoja nikitulia nitaisoma zaidi. Nadhani bad economic policies au kuwa na policies zisizoshabihiana au zinazopingana inaweza kuwa inachangia.
Ukiwa huzalishi sana nchini mwako na unategemea sana kuagiza vitu kutoka nje, halafu huna fedha za kigeni, hii hali ni rahisi sana kutokea. Hiki ndicho kinatokea Tanzania sasa.

Kwa sababu, watu wanaweza kukosa kazi, nchi yako ikawa haina mzunguko wa fedha mzuri.

Jambo hili, kwa kawaida husababisha bei zishuke kwa kufuata kanuni za kiuchumi z a"supply and demand determines price".

Lakini, kwa nchi ambayo, kwa mfano, hata mbolea mnaagiza nje, na bei ya mbolea imepanda kwa sababu za nje, bei ya mafuta imepanda, hapo hata chakula kitaongezeka bei, kwa sababu uzalishaji wa chakula unategemea factors za nje, si za ndani.

Kwa hivyo hapo unaweza kupata stagflation, mzunguko wa fedha mdogo, halafu bei za vitu zinapanda.

Nimeiweka kirahisi zaidi ili kueleweka vizuri.
 
Ultimately, nchi ikiwa na njaa na huyu Mgufuli rais, na huyu mwingine Bashiru ni katibu mkuu wa chama, wao ndio wako responsible na njaa hiyo.

Magufuli kashindwa kuanzisha miradi ya ukulima iliyojikita kwenye kuhakikisha food security, hilo ni kosa la kimfumo na kiuongozi.

Matokeo yake nchi kubwa ardhi bwerere, wananchi wanalia njaa.

Huyu Magufuli aliiangusha mapato ya Tanzania kwa kuingilia biashara ya korosho, umeshasahau?

Halafu hawahawa viongozi waliotufikisha hapa, wakitoka kwenye uongozi wanapiga kelele sana.

Hujaona hilo jambo la wazi kabisa?
Bado ujajib kile nmeuliza, ni yapi yalifanywa na bashir pamoja na magufuli yaliyopelekea hili janga baada ya miaka miwili(-) ya kifo cha magufuli?
 
Bado ujajib kile nmeuliza, ni yapi yalifanywa na bashir pamoja na magufuli yaliyopelekea hili janga baada ya miaka miwili(-) ya kifo cha magufuli?
Inaonekana tuna tofauti za kifalsafa kuhusu wajibu wa viongozi.

Failure ya rais kuweka strategic food security plan huioni hapo?

Hata hilo la Korosho nalo hujaliona?

Huyo rais na sidekick wake ambao wameshindwa hata kuruhusu dialogue na wapinzani, wameua upinzani bungeni, wameua mpaka kuona mijadala ya bungeni live, kwa urais wa one man show, utawala huu wa mkono wa chuma utakosaje lawama nchi ikiingia kwenye njaa wakati watu hata kujadili strategic food security plan ilikuwa inachukuliwa kama uhujumu uchumi, kesi isiyo na dhamana?
 
"Njaa inadhalilisha heshima na uhuru wa nchi, inatweza utu wa binadamu kwahiyo tatizo la mfumuko wa bei za vyakula ni tatizo ambalo tutake tusitake lazima tuongeze kiwango cha ubunifu kukabiliana nalo, hakuna ukomo wa ubunifu, wananchi wanakibiliana na tatizo hili.

"Nilikuwa nazungumza na wananchi mmoja amesema chakula cha asubuhi na mchana kinaunganishwa kwenye saa 5 na 6, mlo wa usiku unaunganishwa kati ya saa 11 na 12, hawasubiri kujadili mambo ya Ukraine na tabianchi, wameanza kuchukua hatua.
View attachment 2502022
Huyu naye 'anawashwawashwa'(kwa sauti ya mwenda jahanam Jiwe)
Alikuwa chawa wa dictator Jiwe enzi zile.
 
Back
Top Bottom