much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Ujamaa ulipitwa na wakatiHuyu mtu ana asili na uzoefu katika masuala ya taaluma, lkn pia ni mtu aliyekopwa kwa ajili ya sababu za kiutendaji za kisiasa. "Analysis" yake inaaminika na pia yenye mantiki, kwa mazingira na muktadha wa kijamii na kiuchumi tunayoyapitia kama taifa.
Baniani mbaya, ila kiatu chake ni dawa. Huyu ni mtu mwenye uaminifu wa milengo ya siasa za kijamaa, ila ni mtu mwenye msimamo wa kile alichoaminishwa na kukiamini.
Sent using Jamii Forums mobile app