Tena ujumbe Murua kabisa... na atapeleka salamu alizopokea kwa wananchiMwambieni aende mitaani , bila ulinzi wala msafara wowote akaongee na wanachi kuhusu maridhiano halafu atapata ujumbe .
Kwa sasa hakuna kiongozi wa CCM anayeweza kufanya suicide mission kama hiyo.Mwambieni aende mitaani , bila ulinzi wala msafara wowote akaongee na wanachi kuhusu maridhiano halafu atapata ujumbe .
Naam , wanafikiri hawa wajinga tuko 1970 enzi za redio moja, chama kimoja, mwenyekiti mmoja .Kwa sasa hakuna kiongozi wa CCM anayeweza kufanya suicide mission kama hiyo.
Uliona kariakoo walivyompokea Manara?
Hawa wajinga unakuta wanaongea ila wananchi wanaowazungumzia vidampa wa UVCCM ambao wanawapa vipesa ndio waanze kumsifia muuaji wa Kizimkazi.Tena ujumbe Murua kabisa... na atapeleka salamu alizopokea kwa wananchi
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa dhana ya maridhiano ya kweli haiwezi kujengwa juu ya makubaliano ya kisiasa pekee, bali lazima iyatokane na wananchi kama msingi wa mamlaka ya nchi.
Akizungumza katika mahojiano maalum na mtangazaji Chief Odemba wa kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, Dkt. Bashiru amesema Katiba ya sasa inaweka mamlaka ya nchi mikononi mwa wananchi, hivyo lolote kuhusu maslahi ya taifa linapaswa kuanzia kwao na kuwanufaisha wao.
Dkt. Bashiru amesisitiza kuwa wazo lolote zuri, ikiwemo maridhiano ya kitaifa, halina maana bila kuwekwa katika mfumo unaowahusisha wananchi moja kwa moja na si kuwa kati ya pande za kisiasa tu.
Kama alimkacha polepole unategemea ana jipya?Huyu nae anakazwa
Ni mbunge kwa uchaguzi gani halali?Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa dhana ya maridhiano ya kweli haiwezi kujengwa juu ya makubaliano ya kisiasa pekee, bali lazima iyatokane na wananchi kama msingi wa mamlaka ya nchi.
Akizungumza katika mahojiano maalum na mtangazaji Chief Odemba wa kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, Dkt. Bashiru amesema Katiba ya sasa inaweka mamlaka ya nchi mikononi mwa wananchi, hivyo lolote kuhusu maslahi ya taifa linapaswa kuanzia kwao na kuwanufaisha wao.
Dkt. Bashiru amesisitiza kuwa wazo lolote zuri, ikiwemo maridhiano ya kitaifa, halina maana bila kuwekwa katika mfumo unaowahusisha wananchi moja kwa moja na si kuwa kati ya pande za kisiasa tu.
Hakika Wewe umemuelewa bashiru, bashiru ameongea kwamba maridhiano hayo yafanyike na wananchi...kwa hiyo hakutakuwa na maridhiano!!
Hakika Wewe umemuelewa bashiru, bashiru ameongea kwamba maridhiano hayo yafanyike na wananchi.
Na wananchi kama unavyowaona kila kukicha wanaona maumivu ys mambo yaliyopita hivi punde..
So huwenda suala hilo likawa gumu kwa sababu mhusika mmoja aliyemtaja bashiru(mwananchi) bado ana maumivu yanayomuuma rohoni kwakeee