PostGE2025 Bashiru Ally: Maridhiano sio kati ya serikali na vyama vya siasa bali wananchi wenyewe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa sasa hakuna kiongozi wa CCM anayeweza kufanya suicide mission kama hiyo.

Uliona kariakoo walivyompokea Manara?
Naam , wanafikiri hawa wajinga tuko 1970 enzi za redio moja, chama kimoja, mwenyekiti mmoja .
 
Ameteuliwa na Rais aliyejipigia Kura na kujipitisha atakuwaje Mbunge halali?
 

..kwa hiyo hakutakuwa na maridhiano!!
 
Ni mbunge kwa uchaguzi gani halali?
 
Kama wanadai walishinda kwa 98% maana yake wanakubalika kwa wananchi sasa je hayo maridhiano na wananchi yanahusu Nini?
 
..kwa hiyo hakutakuwa na maridhiano!!
Hakika Wewe umemuelewa bashiru, bashiru ameongea kwamba maridhiano hayo yafanyike na wananchi.

Na wananchi kama unavyowaona kila kukicha wanaona maumivu ys mambo yaliyopita hivi punde..

So huwenda suala hilo likawa gumu kwa sababu mhusika mmoja aliyemtaja bashiru(mwananchi) bado ana maumivu yanayomuuma rohoni kwakeee
 

..waliokosea ni Ccm na vyombo vyao vya dola. Hao ndio wanaopaswa kuomba radhi, kuwajibika, na hivyo kuleta maridhiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…