Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Lakini Happy sio Chawa, anapiga kazi sana saivi.Happy nae aliongea kama nyerere wakati anawakashifu wastaafu
Ngoja kwanza tuwasubirie Chawa. πππππMeneja Wa Makampuni tuwekee Mengineyo.
πππππMasau bwire nae anaongea kama mizengo pinda apewe uwaziri mkuu
Mama yetu Samia anatosha mpaka 2030Anafaa kuwa Rais wetu
Mweh!Mama yetu Samia anatosha mpaka 2030
Unataka matusi wewe naona.Mama yetu Samia anatosha mpaka 2030
Hakika. Anasauti ya mamlaka.Anafaa kuwa Rais wetu
Kila mtu na chaguo lake boss. Katiba imetupa uhuru wa kuchagua.Unataka matusi wewe naona.
Mi naona kama wanampaisha.Hakika. Anasauti ya mamlaka.
Spika Ndugai alipojaribu kuongea kama Mwl. Nyerere kuhusu mikopo na deni la taifa, alifyekelewa mbali. Na kwa sasa amefungwa kamba ili aweze kuzurura na kuthibitiwa nyendo zake.Habari wakuu,
Hivi ninyi hamjagundua Bashiru anaongea kama Nyerere.
Nilichogundua Bashiru angepewa cheo pale CCM [emoji2][emoji2][emoji2] hawa chawa wangetulia kimya.
Chawa bwana [emoji3][emoji3]inabidi kungefanyika majibizano ya hoja kati ya chawa na Bashiru. Wawekwe kwenye chumba kimoja [emoji39][emoji39]
Nasubiri huu mtifuano chawa wakiona Bashiru kashika mic[emoji3][emoji3].
Rais Ni zadi ya sauti ya mamlaka!.. kwa MTU anaependa democracy This guy is more than a venom!..Kama issue Ni sauti akafungua kanisa atumie vizri sauti yake ya mamlaka kukemea mapepoHakika. Anasauti ya mamlaka.