Bashiru anaongea kama Nyerere

Bashiru anaongea kama Nyerere

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari wakuu,
Hivi ninyi hamjagundua Bashiru anaongea kama Nyerere.

Nilichogundua Bashiru angepewa cheo pale CCM 😃😃😃 hawa chawa wangetulia kimya.

Chawa bwana 😀😀inabidi kungefanyika majibizano ya hoja kati ya chawa na Bashiru. Wawekwe kwenye chumba kimoja 😋😋
Nasubiri huu mtifuano chawa wakiona Bashiru kashika mic😀😀.
 
Habari wakuu,
Hivi ninyi hamjagundua Bashiru anaongea kama Nyerere.

Nilichogundua Bashiru angepewa cheo pale CCM [emoji2][emoji2][emoji2] hawa chawa wangetulia kimya.

Chawa bwana [emoji3][emoji3]inabidi kungefanyika majibizano ya hoja kati ya chawa na Bashiru. Wawekwe kwenye chumba kimoja [emoji39][emoji39]
Nasubiri huu mtifuano chawa wakiona Bashiru kashika mic[emoji3][emoji3].
Spika Ndugai alipojaribu kuongea kama Mwl. Nyerere kuhusu mikopo na deni la taifa, alifyekelewa mbali. Na kwa sasa amefungwa kamba ili aweze kuzurura na kuthibitiwa nyendo zake.

Jamaa hawachelewi kumtendea naye Dkt.Bashiru hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom