Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

mimi binafsi kwa hali hii inavyoenda naanza kuamini kuwa MAGUFURI HAJAFA KIFO SAHIHI inawezekana alisitishiwa uhai wake na wahuni. Kwa haya yanayoendelea kutokea nchini napata wasiwasi sana. Ila naomba Mungu kama Magu alihujumiwa uhai wake basi waliohusika wote wapite njia hiyo hiyo 100percent. Wageuke tumbili🙁, waandamwe na mikosi na laana, wakose mvuto mahali popote wawe kama wamepakwa kinyesi usoni kwao, wapate mwisho kama walivyotoa mwisho kwa watu wengine
 
Mafisi yamerudi buchani
 
Wenye Chama walikuwa wana usongo nae kichizi…hata ile Polepole kuongea ongea naskia alikuwa anatumika bila ya kujijua ili kumuingiza Mkenge KM mstaafu lakin wapiiii…Dr kila akivutwa kuingia ulingoni hataki na 'Golves' alizovalishwa anatamani siku ifike azivue aendelee na maisha yake
ila jamaa toka mwendazake aondoke yupo kimya sana hajawahi kuongea anajua msala wake
 
Ukiamuacha Mzee Kinana na Mzee Makamba Snr ambao ni wakubwa kiumri kwa Dk. Bashiru, huwezi jua ya kesho!
 
..labda Dr.Bashiru amerudi ktk chama chake cha zamani CUF.

Ukwell ni kwamba wezi hawakufurahi pale Magufuli na Bashiru walipothibiti wizi wa mali za ccm!!! Ndio maana walipigana kufa au kupona nafasi ya kumuondoa Bashiru ilipojitokeza baada ya Jiwe kutoweka!! Vasco Dagama is the mastermind of all this fraud!! Anataka kuwarudisha wafanya biashara kukifadhili chama chao ; kumbuka enzi za Vasco Dagama alimuweka Rostam Aziz kuwa muweka hazina wa CCM!! Chui akakabidhiwa zizi la mbuzi.!!!!
WAKAJIKABIDHI KITUO CHA TELEVISION: WAKAUZA MITAMBO YA UCHAPISHAJI MAGAZETI YA UHURU NA MZALENDO NA SASA WAMERUDI!!! Utasikia wafanyakazi hawalipwi mishahara.
 
Dhana potofu kabisa..
1.unataka kutuambia ulinzi wa Rais ni dhaifu
2.unataka kutuambia hakustahili kufa
Sasa weye na wengine wa sampuli yako kubalini Mwenyezimungu ni FUNDI KWELI KWELI.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Kamuulize Magu huko kwenye kaburi lake chattle wapi wako akina BenSaa8, Azory nk. Baada ya hapo ndio uje umtetee yule kiongozi muovu.
 
Katiba Mpya ni muhimu sana.
 
Aliwashugulikia kivipi wakati Bashiru ndiye aliwapitisha kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM?
 
Dhana potofu kabisa..
1.unataka kutuambia ulinzi wa Rais ni dhaifu
2.unataka kutuambia hakustahili kufa
Sasa weye na wengine wa sampuli yako kubalini Mwenyezimungu ni FUNDI KWELI KWELI.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
watapukutika wote, aliyeua kwa upanga utakufa kwa upanga🙁
 
Dunia inaenda kasi sana, lakini sishuki!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…