Acheni kuchafua wazee wa watu.Kinana karudi kwenye system inabidi tuwe macho na tembo wetu tena.
Bashiru mjanja [emoji23][emoji23]ila jamaa toka mwendazake aondoke yupo kimya sana hajawahi kuongea anajua msala wake
Dikteta alikuwa mtu hatari snKuna kitu hujakiweka sawa hapo, wananchi unaosema waliishi kwa hofu au kulimia meno kipindi cha JPM je waliendesha maisha yao kwa njia halali au unaongelea wale jamaa wa madawa ya kulevya, wafanyabiashara kanjanja waliokwepa kodi, watumishi waliozoea upigaji serikalini, majambazi sugu na waliofoji vyeti?
Kwani magufuli alifanya kosa gani kudili na huo uozo. Mbona wananchi wa wakawaida na walioendesha maisha yao kwa njia halali hawakuwa na hizo hofu? Siku zote mtu mwenye hofu ni mtu ambaye anaendesha mambo yake kwa njia haramu.
Anaenda kurudishwa CUF
Well said! Watu wanashadidia kurudi wapigaji wakati bunge zima limejaa wabunge waliosimikwa na Bashiru!Ila pasipo kushangalia ujio wa kishindo, na kwa namna ile ile ya awali, yaani ujio wa kivingine wa "ari mpya, nguvu mpya, na kasi mpya" slogan iliyoibuliwa na Prof. Mukandala huyu huyu.
Uongozi wa sasa unalazimika kuendeleza na kudumisha mazuri yaliyofanywa na mwendazake. Wananchi wa kada ya chini walimkubali, kumuhusudu na kumwamini.
Wakishindwa kufanya hivyo, utazaliwa upinzani ndani ya CCM, yaani CCM Mpya yenye kumuwakilisha na CCM Maslahi ya hawa wanamtandao na wafanyabiashara wanaokishikilia chama na serikali yake.
Hizi sauti zinazosikika kuhusu haja ya kuwaindoa wahuni waliopo ndani ya chama si za kubeza. Chama kikubwa na kikongwe husambaratika kupitia "its internal weaknesses" na wala siyo kwa kupitia "its external threats"
Pumba tupu hapa! Hakuna anayejadili njaa ya Bashiru tunajadili siasa ndani ya CCM!Mnajichanganya sana. Kwanza Dr Bashiru hajawahi kuwa na interest na siasa! Hana analopoteza zaidi ya maumivu moyoni mwake kwa Watanzania wenye akili ya kiwango chako!
Usimsikitikie Dr Bashiru, kwa levels zake yeye wala watoto wake hawatokuja kupata njaa. Kaa ujifikirie wewe na kizazi chako!
Hii post imejaa pumba kabisa, Ben Saanane alikuwa muuza madawa, vipi kuhusu Lissu.Kuna kitu hujakiweka sawa hapo, wananchi unaosema waliishi kwa hofu au kulimia meno kipindi cha JPM je waliendesha maisha yao kwa njia halali au unaongelea wale jamaa wa madawa ya kulevya, wafanyabiashara kanjanja waliokwepa kodi, watumishi waliozoea upigaji serikalini, majambazi sugu na waliofoji vyeti?
Kwani magufuli alifanya kosa gani kudili na huo uozo. Mbona wananchi wa wakawaida na walioendesha maisha yao kwa njia halali hawakuwa na hizo hofu? Siku zote mtu mwenye hofu ni mtu ambaye anaendesha mambo yake kwa njia haramu.
Nionavyo ni kama huyu alinyolewa kwa kipande cha chupa bila maji wala sabuniMwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Huoni hata mtendaji mkuu nae yupo kimya siku hizi?ila jamaa toka mwendazake aondoke yupo kimya sana hajawahi kuongea anajua msala wake
Leo wastaafu wameula tena!!! Wamerudi kwa mlango wa mbele wala si wa nyuma!!!Tusubiri tu ligi.Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Hapana! huwezi kuishi na wote kwa upendo. Wengine ni wahuni. Binadamu wasio na utu! Angalia watu waliowahi kuhisiwa kuuza meno ya tembo wanavyorudishwa kwenye mfumo. Huyo anayewarudisha ana lengo gani? Unaweka baraza la mawaziri la vijana, unarundika wezi wazoefu wazee kwenye chama ili kuwasimamia vijana.Dunia ni sehemu ya wote hata
Cheo ni dhamana ya muda tu
Ishi na wote kwa upendo
It's no comfort to Chagga group!Gangs of sukuma land have been bombed with heavy unknown kind of kitu kizito
HahahaaaaaAissee, yani things are no longer at ease and they are falling apart in the river between !!
Watajuana wenyewe bwana. Sisi hayatuhusu tunafatilia vita ya Ukraine na Urusi tu.Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Ukipewa nafasi fanya kwa masirahi mapana kwa hyo wewe alitaka awaache hao mafisadi? tena hilo lichama linaenda kumalizikia tena ngoja muone badala ya kumshukuru Magufuli, Bashiru na Polepole mnawadharau hili lichama mnaenda kulizika rasimi , yaani mzee wa Twiga Qatar mnamrudisha saaaaawaaItakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Sasa mimi nahusikaje?Ukipewa nafasi fanya kwa masirahi mapana kwa hyo wewe alitaka awaache hao mafisadi? tena hilo lichama linaenda kumalizikia tena ngoja muone badala ya kumshukuru Magufuli, Bashiru na Polepole mnawadharau hili lichama mnaenda kulizika rasimi , yaani mzee wa Twiga Qatar mnamrudisha saaaaawa
Huu mtori una nyama kweli??Kunasehem kama kunamtu anatafutwa hvi, ila ngoja tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini