Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

Sio mda kuna baadi ya wanaccm watadai katiba mpya hadharani na sio kimoyomoyo kama kina bashiru saivi.

Huyo mzee bila shaka anaishi kwa hofu, anajua michezo michafu na bahati mbaya juizuia hawezi, wakiamua kumlipizia ni dakika chache tu sema wanamstahi.

Akijichanganya tu lazima wamlipue, nadhani saivi hawana sababu tu.
 
Wasukuma na wabanyamulenge sio wa kuwapa Nchi tena ndani ya miaka 6 walijionesha makucha yao.
Walijipanga kumnyima Mama utawala na wakajichotea mabulungutu
Kwa hiyo wakina nani wapewe nchi kwa maoni yako?
 

Unateseka kutokea wapi mkuu
 
Pole mkuu inaonekana una maumivu makali sana. Wenzako hiki unachopitia ndicho nao walipitia wakati wako, ni kutesa kwa zamu tu.
 
Kwa hiyo wakina nani wapewe nchi kwa maoni yako?
Nyerere (R.I.P.) alishasema ni heri vikabila vidogo vitauheshimu Uongozi
Haya makabila makubwa km Wasukuma, Wahaya, Wachagga, Wanyakyusa mpaka wagawane vyeo Nchi haitabakizwa lolote.
km sasa Mpemba wapi atajenga liuwanja la mpira huko kwao, wapia atavuta Bandari ya Chato, au SGR
 
Nyie wakwere mlipewa uongozi, je mliuheshimu?
 
Pole mkuu inaonekana una maumivu makali sana. Wenzako hiki unachopitia ndicho nao walipitia wakati wako, ni kutesa kwa zamu tu.
Wewe unafurahia kuona nchi inarudi mikononi mwa wahuni?
 
Kwamba JPM alikuwa boss wa JK? Sijui tunatafuta justification gani! Dr Bashiru kwa vyeo alivyopitia hana hasara! Zaidi amejenga CV ambayo wewe na mimi na ukoo wetu tunaweza tusifikie! Let us discuss issues na sio watu!
Upo sahihi sana Mkuu Tatizo La Rais wengi wa Tanzania tuna ushabiki usiokua na tija mtu unashangilia watu ambao unaona kabisa wanaenda kuharibu future ya Taifa lako eti kwa sababu unamkomoa Bashiru alikua kwemye serikali ya JPM let us discuss about our mama land future not this bullshit.
 
Ndio maana huwa tuna sema tenda wema kwa kila mtu. Hakuna ajuae kesho yake. Hapo bado rafiki yangu Ally Hapi
Mimi binafsi sijaona ubaya waliotendewa zaidi ya wao kukiuka taratibu na miongozo ya chama,na hatimaye kuwajibishwa kwa mujibu wa katiba ya chama,shida ipo wapi?
Kutenda wema ni pamoja na kukemea maovu.
 
Si ajabu taifa hili haliendelei, TZ ni nchi ambayo kiongozi akiwa mwizi, na kujilimbikizia mali za umma, kuna watu watamshangilia , kumtetea na kumuona shujaa.Shame
Taifa linarudi kwa wajanja wajanja na kuna mijitu humu inashangilia kama wendawazimu hivi.
 
Kuna mzimu ulipandikizwa na mwendazake...
unaweza kurudi kwa speed kuliko utopolo unaoandika hapa....
 
Nakubaliana na wewe kabisa.

Kuna wadau wanasema Marehemu
Magufuli hakuufahamu vyema msimamo wa makamu wake, kama ni kweli kuhusu hili, hapo alikosea sana tena sanaaaa.
 

Anayejua CCM inakotupeleka atuambie basi!!!

CC: mpk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…