Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

Huo ndiyo unaitwa ustaarabu.
Majuha ndiyo huonesha ubabe kwa makelele.
 
Duh, wazee Dunia inazunguka kwa kasi sana. Hili somo Bashiru alilopata pamojq na Udokta wake alishindwa kuweka akiba ya maneno na vitendo.
Amejifunza ila it's too late. Leo alikuwa anatoa macho kama mjusi alyebanwa kwenye mlango. Halafu hakuwa comfortable kabisa

 
Chama kilitekwa na washamba
 
Mbona hawakukijenga toka awali mpaka kilipotaka kuwafia na turufu yao ikabakia kwa jpm aliyekuja kuirudisha tena imani kwa wananchi?
Na lengo lao lilikuwa nini kumteta mwenyekiti wao,hao wazee wanafiki.
 
Ushasahau yaliyowakuta kina Lissu na Ben Saanane.... what goes around comes around though you don"t have evidence on his death.
 
Bashiru alikuwa sahihi, Makamba na Kinana ni wanafiki na ndiyo maana Makamba chama kilikuwa kinamfia kutokana na unafiki wake ndipo akatolewa kukiokoa kwa kupewa Kinana. Bahati mbaya Kinana naye akawa kama vile ama zaidi ya Makamba na ndiyo maana jiwe akampendekeza Bashiru. In short, achana na siasa maana ukija iendekeza utaishia kuwa kama Zitto, Nnape, Kinana, Makamba, jr., na Kikwete.
 
Wakati makatibu wakuu wanaharibu chama wenyeviti wanakuwa na majukumu gani? Kwa hapa ni Kikwete na Magufuli!
 
Hivi alisharudisha ile hela alopiga baada ya magu kukata moto?
 
Mbona hawakukijenga toka awali mpaka kilipotaka kuwafia na turufu yao ikabakia kwa jpm aliyekuja kuirudisha tena imani kwa wananchi?
Na lengo lao lilikuwa nini kumteta mwenyekiti wao,hao wazee wanafiki.
Kwa hiyo victor solomon unaamini kuwa CCM ilikuwa na nguvu mwaka 2015-20? Kweli Watanzania wengine vichwa vyao havina tofauti na matikiti.

Yaani Magufuli anapandikiza Wakurugenzi wa Halmashauri ambao walikuwa makada wa CCM, anamuweka Wilson Mahera kuwa Mkurugenzi wa NEC ambaye ni kada wa CCM na mwisho anaitumia Police kuiba uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020!!

Wacha kujidanganya kuwa Magufuli alijenga CCM
 
Kama ulikuwa hufuati sheria kukandamizwa ni haki yako kwa maslahi ya uma, kiongozi yeyote yule ni lazima alinde maslahi ya wengi huku wale wachache wanaojaribu kumkwamisha akiwadhibiti kisawasawa ili wengi wengi wanufaike.
 
Kwanini upate hili fundisho leo kwa Bashiru na hukulipata wakati wa timu Msoga inashughulikiwa?

Mnafurahi vipi Upumbavu kurudi katika hatima zenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…