Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
Ipo siku tutajua wale watu waliokuwa wanapotea nini chanzo
Mungu mkubwa,muda si mrefu kuna watu wataaibika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo siku tutajua wale watu waliokuwa wanapotea nini chanzo
Huo ndiyo unaitwa ustaarabu.Uzuri wa hawa watoto wa mjini, wala hawanaga makelele. Wanajua kucheza rafu za kimyakimya, anaechezewa ndio atapiga kelele mwenyewe.
Hautasikia Nape anamsimanga Makonda, wala hautasikia Kinana anamsema Bashiru. Watoto wa mjini wanajua kumchinja kobe hakuhitaji papara wala kelele. Ni TIMING tu!
Duh, wazee Dunia inazunguka kwa kasi sana. Hili somo Bashiru alilopata pamojq na Udokta wake alishindwa kuweka akiba ya maneno na vitendo.Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Kumewahi kuwa na mwanasiasa mhuni nchi hii zaidi ya Magufuli?Wewe unafurahia kuona nchi inarudi mikononi mwa wahuni?
Chama kilitekwa na washambaItakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Anasubiri tu avute mpunga wa mafao ya ubunge asepeBashiru kwa sasa hana tena matumaini ya kubakia ndani ya chama
Uhuni wake ulikuwa upi?Kumewahi kuwa na mwanasiasa mhuni nchi hii zaidi ya Magufuli?
Mbona hawakukijenga toka awali mpaka kilipotaka kuwafia na turufu yao ikabakia kwa jpm aliyekuja kuirudisha tena imani kwa wananchi?Kama kuna vitu vya kipumbavu vimewahi kufanywa na Rais wa Tanzania toka tupate uhuru, kimojawapo ilikuwa ni kuwarekodi hawa Makatibu Wakuu Wastaafu.
Kama Magufuli angekuwa na akili nzuri anhewatumia kama reference katika kujenga chama. Kinyume chake akaamza kuwa tape na kuzitupa voice notes kwenye mitandao ya kijamii.
Nawashangaa wanaomsikitia Magufuli, KIFO ilikuwa lazima kimpate kwa STRESS alizojijazia na USHAMBA alikuwa nao
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2170762
Haya masikio siyo ya tz kabisa
Ushasahau yaliyowakuta kina Lissu na Ben Saanane.... what goes around comes around though you don"t have evidence on his death.mimi binafsi kwa hali hii inavyoenda naanza kuamini kuwa MAGUFURI HAJAFA KIFO SAHIHI inawezekana alisitishiwa uhai wake na wahuni. Kwa haya yanayoendelea kutokea nchini napata wasiwasi sana. Ila naomba Mungu kama Magu alihujumiwa uhai wake basi waliohusika wote wapite njia hiyo hiyo 100percent. Wageuke tumbili🙁, waandamwe na mikosi na laana, wakose mvuto mahali popote wawe kama wamepakwa kinyesi usoni kwao, wapate mwisho kama walivyotoa mwisho kwa watu wengine
Bashiru alikuwa sahihi, Makamba na Kinana ni wanafiki na ndiyo maana Makamba chama kilikuwa kinamfia kutokana na unafiki wake ndipo akatolewa kukiokoa kwa kupewa Kinana. Bahati mbaya Kinana naye akawa kama vile ama zaidi ya Makamba na ndiyo maana jiwe akampendekeza Bashiru. In short, achana na siasa maana ukija iendekeza utaishia kuwa kama Zitto, Nnape, Kinana, Makamba, jr., na Kikwete.Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Vijana wa PK lazima wawe wa pole Tanzania sio nchi ya kichezewa.ila jamaa toka mwendazake aondoke yupo kimya sana hajawahi kuongea anajua msala wake
Kutumia watu kama Musiba, Sabaya, na Wasiojulikana kupambana na wapinzani wake wa wa kisiasa ni uhuni toshaUhuni wake ulikuwa upi?
Wakati makatibu wakuu wanaharibu chama wenyeviti wanakuwa na majukumu gani? Kwa hapa ni Kikwete na Magufuli!Bashiru alikuwa sahihi, Makamba na Kinana ni wanafiki na ndiyo maana Makamba chama kilikuwa kinamfia kutokana na unafiki wake ndipo akatolewa kukiokoa kwa kupewa Kinana. Bahati mbaya Kinana naye akawa kama vile ama zaidi ya Makamba na ndiyo maana jiwe akampendekeza Bashiru. In short, achana na siasa maana ukija iendekeza utaishia kuwa kama Zitto, Nnape, Kinana, Makamba, jr., na Kikwete.
Hivi alisharudisha ile hela alopiga baada ya magu kukata moto?Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.
Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.
Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Kwa hiyo victor solomon unaamini kuwa CCM ilikuwa na nguvu mwaka 2015-20? Kweli Watanzania wengine vichwa vyao havina tofauti na matikiti.Mbona hawakukijenga toka awali mpaka kilipotaka kuwafia na turufu yao ikabakia kwa jpm aliyekuja kuirudisha tena imani kwa wananchi?
Na lengo lao lilikuwa nini kumteta mwenyekiti wao,hao wazee wanafiki.
Na ile ripoti ya CAG ya January mpaka March 2021 ilitoka kweli?Hivi alisharudisha ile hela alopiga baada ya magu kukata moto?
Kama ulikuwa hufuati sheria kukandamizwa ni haki yako kwa maslahi ya uma, kiongozi yeyote yule ni lazima alinde maslahi ya wengi huku wale wachache wanaojaribu kumkwamisha akiwadhibiti kisawasawa ili wengi wengi wanufaike.Kwanza elewa jambo moja. Siwezi kusimama bega kwa bega na mtu anaye haribu nchi. Kwa mfano simsapoti makamba na katakata yake ya umeme.
Pilo elewa kwamba siwezi kusimama bega kwa bega na mtu anaye tawala kwa kukandamiza wenzake. Mathalani magufuli akishirikiana na watendaji kazi alio wateua alisababisha watu waishi kama mashetani. Walimie meno, waishi kwa hofu, watu kupotea ubinywaji wa haki za watumishi n.k. kwahio kila upande una mabaya yake.
Kwanini upate hili fundisho leo kwa Bashiru na hukulipata wakati wa timu Msoga inashughulikiwa?Hili ni fundishon kwetu sisi kama binadamu kuwa madaraka ni koti la kuazima leo unalo kesho mwenye nalo kalichukua.
Muhimu tutende kwa mujibu wa sheria na taratibu.Na wamshukuru Mungu Rais wa sasa wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu mpendwa Samiah Suluhu Hassan hana roho ya kisasi.
Bashiru alivuka mstari mwekundu!Kwanini upate hili fundisho leo kwa Bashiru na hukulipata wakati wa timu Msoga inashughulikiwa?
Mnafurahi vipi Upumbavu kurudi katika hatima zenu?