Bashiru tunza ahadi yako ya kutokubali uteuzi mwingine wowote

Wewe ndio mjinga ambaye hujui dhamana aliyonayo Katibu mkuu wa chama chako!

Niishie hapo.
Wewe una nini hadi umuone mwenzako kuwa ni mjinga?
Kati ya wajinga nambari moja hapa Tanganyika ni basi ni wewe.
 
Wewe unawaamini wanasiasa?

Kwa mfano Mnyika alivyosema hajaandika barua ya kuwatambulisha wabunge wateule akina Halima Mdee kwa Mahera, wewe ulimuamini?
Wewe leta ushahidi kama huu wa Mnyika ndiyo tukuelewe, Mnyika ni mjinga kiasi gani apeleke jina la mtu aliyekuwepo magereza na aweze kumtoa usiku, acha U ccm wako kudanganya watu.
 
Erythrocyte unajisahau sana ndugu yangu. Kama uliamini Mdee asingefanya usaliti kwa kuvunja katiba ya chama kwanini uendelee kuamini hivyo kwa Mnyika? Bado unawaamini wanasiasa au wakiwa ndani ya CHADEMA tu?
umesoma katiba ?
 
Nikweli Sasa huu uteuzi ameukataa?huyu bwana hajitambui.
 
1.Kiuhalisia alisema 'baada ya' hiyo aliyonayo ya ccm
2.Huwezi kukataa kumsaidia rais anapokuhitaji kwenye kazi Fulani.
3.Aliposema nikwamba alitaka wafitini ccmni wanaosema anatafuta cheo wajue yeye siyo msaka vyeo
4.Cheo alichokuwa nacho kilikuwa nanguvu sana (aliwashtua hata mawaziri).
Nk. Nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…