Bashiru tunza ahadi yako ya kutokubali uteuzi mwingine wowote

Bashiru tunza ahadi yako ya kutokubali uteuzi mwingine wowote

Umeambiwa tuwekee ushahidi wa hoja yako ili tukuamini
Ushahidi ni barua yenye sahihi ya J J Mnyika iliyoko kwa Mahera.

Na kwa sababu ina muhuri wa kupokelewa na serikali na ule wa " SIRI" haiwezi kuwekwa hapa!
 
Ukitoa comment kama unaonekana ni mnafiki, na una uwendawazimu wa aina fulani. Hata mtu mwenye akili ndogo kabisa, hawezi kuwa na fikra kama hizo.

Ujinga ujinga unaouandika kama huu, unakufanya wanaJF wakuouuze na wakuone bwege. Hata siki moja ukileta jambo la maana, hakuna atakayelipa umuhimu, kwa kuamini kuwa hakuna hoja ya maana inayoweza kutoka kwa mwendawazimu.
Wewe ndio mjinga ambaye hujui dhamana aliyonayo Katibu mkuu wa chama chako!

Niishie hapo.
 
Jikite kwenye mada , Katibu Mkuu wa Chadema hana na wala hajawahi kuwa na uwezo wa kuteua wabunge wa viti maalum , usiwe bwege kwa kudhani unaweza kudanganya mtu humu , Katiba ya chadema inapatikana hata mitandaoni , isome uelewe
Erythrocyte unajisahau sana ndugu yangu. Kama uliamini Mdee asingefanya usaliti kwa kuvunja katiba ya chama kwanini uendelee kuamini hivyo kwa Mnyika? Bado unawaamini wanasiasa au wakiwa ndani ya CHADEMA tu?
 
Dr Bashiru katuaibisha sana
 
Back
Top Bottom